Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

miss strong

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
7,011
Reaction score
3,708
Habar zenu wanaJF polen na majukumu ya kikaz.....mm ni bint ambae nilikuwa na mahusiano yakimapenz na kaka mmoja ambyi yalidumu kwa miaka 3 ss lkn ktk kipnd cha mahusiano siku moja ilitokea kwamba mwanaume anataka tuonane lkn gesti jambo ambalo lilinishangaza sana na wala c kawaida kutokea kwa maana walikuwa wamengashiwa nyumba maeneo ya tegeta na mwajiri wke.Nikahoj hlo swala nakujibiwa kuwa ana wagen toka kwao iringa ambae ni mtu na mkewe ndo amewaachia chumba,nilielewa somo nakuendelea na mambo yetu.Alinirudisha mpk nyumban baada yakumaliza kaz yetu kwa siku hyo.....nilipofika nyumban baada yakupumzika nikampgia cm lkn cha ajabu ikapokelewa na mwanamke nakuanza kuniporomoshea matuc,nilishikwa na butwaa nicjue nn chakufanya lkn nikaona nitulie maana nilishikwa na jazba sana kilichoniuma ni kutukanwa kupitia cm ya niliyejua ni mtu wngu.....,nikanyamaza lkn ckusita kuuliza c unajua kupenda tena,akanipa majibu lkn akil ikawa kichwan mwangu.Baada ys muda nikaja kuckia kuwa huyo jamaa ana mke wa ndoa kbs huko iringa kwao na nilipojaribu kumuuliza akakataa katukatu.Mapnz yngu kwake yalipungua lkn kilichokuwa kinanifanya kuendelea nae nikumjua hasa aliyenutukana....tukiwa wote huyo mwanamke alipga cm kwa huyo jamaa nkaipokea nakuanza kumwambia kuwa huyo ni mtu wngu mbele ya mwanaume wke lkn ikazua mtafaruku mkubwa sana,cha ajabu mwanaume nikamkuta na pete ya ndoa nlipomuuliza akasema inamsaidia asitongozwe na watu kwa kwel nilizid kupata hasira nikamvua ile pete na ucku huo nikampgia huyo mwanamke nakumuomba msamaha maana nmekuwa na mtu wke bila kujua.Leo mchana mwanaume ananipgia nakuendelea kukataa naomba mnisaidie mawazo kwa kwel nmekwazika sana.Na pete ya ndoa tena Gold nnayo hapa na ctak hata kumuona.
 
Si uliamua kukimbilia gari na mafanikio ya mtu hamtaki kuanza chini na vijana wa rika lenu,kula matunda yenyewe ndio hayo,
hebu angalia yule kijana aliyekuwa anakufatilia halafu ukampiga chini kisa hana kitu ona leo maisha yake yanavyoenda vizuri.
 
Hiyo pete ya ndoa kama vipi kaiyeyushe kwa Nchimbi pale Magomeni Mapipa upate Kufu la haja maana zinakuwaga na zaidi ya gramu 5! ( Acha upuuzi wako rudisha kibana andiko cha watu, zinakuwaga na gundu hizo! Utajitia nuksi bure)

Mi kila siku nasemaga In God we trust but in Our Flithy Men We Investigate Further!!!!!!!! Bila kuwa KGB unaweza kuchanwa viwembe vya uso.

Mi naona uachanane nae tu, coz he is pathetic, not worth your efforts. Ni fungu la kukosa tu huyo! Kuna watu hawana hadhi ya kuwalipa kisasa ni upotevu wa nguvu na maarifa tu!
 
Pole sana na hongera kwa kujua ukweli. Mrudishie pete yake na uvunje mawasiliano nae kabisa.. Inaweza kukugarimu lakini hilo ndilo lilo fungu jema.

Tulia upate wa kwako dada.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tena ya gold hahahahahhh
wanawake wanaotaka mafanikio ya upesi ama mwanaume awe na kilakitu wengi huishia kulizwa.
Add value kwa mwanaume

Hutaki kumuona ila pete yake unaishikilia! Hizi hela bwana!
 
Naomba msaada ni umeolewa ukamvua ama just mpenz mmeamua kuvalishana pete?nakama ujaolewa unalalaje kwa mwanaume bila kuolewa uoni ulijirahisisha sana mapema ndioo maana akakudharau;;kwanza hana adabu anazinije nyumban kwake na ikitolkea mkaoana mtazini gest?;;3;usikate tamaaa tafya kanda ya wimbo wa usikate ta;maa wa martha utakkusaidia
 
baadhi ya wanaume wa dar bwana wananipa burudani,ww sio wa kwanza kukumbwa na balaa kama hilo kuna mdada nayeye aliikuwa na boyfriend kumbe ni mume wa mtu wamekaa 3yrs hadi siku ya sendoff ndo anashangaa ukumbini wanaingia watu na vurugu kuuliza kilichowaleta mama anasema huyo mume mtarajiwa ni mume wangu wa ndoa(ndugu wa bwana harusi ndo walimtonya mke wake),cha ajabu bwana harusi alitokomea kusikojulikana akakimbia soo loh pole sana mtoe nduki huyo mwanaume uanze maisha upya.
 
Ngoja tushauri japo jibu unalijua.achana na mume wa mtu.NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.Tubu uliyofanya bila kujua na kata mawasiliano

Ndoa iheshimiwe na Wanandoa kwanza! Sasa kama mmoja KAFA (Ndio kafa kihisia) hapo hakuna Ndoa ila mfano wa ndoa! We mali yako uhishimu afu usumbue watu waiheshimu! Hakuna kitu kama hicho!
 
Ndoa iheshimiwe na Wanandoa kwanza! Sasa kama mmoja KAFA (Ndio kafa kihisia) hapo hakuna Ndoa ila mfano wa ndoa! We mali yako uhishimu afu usumbue watu waiheshimu! Hakuna kitu kama hicho!

Kama yeye mwenye Ndoa haiheshimu wewe heshimu kwa faida yako binafsi. Kwanza huko mbinguni kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe..Na kwa hapa duniani what goes around comes around.
 
Kama yeye mwenye Ndoa haiheshimu wewe heshimu kwa faida yako binafsi. Kwanza huko mbinguni kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe..Na kwa hapa duniani what goes around comes around.

Aaaaaaaaaah wapi! Tuanzie NDOA NI NINI? Mimi naheshimu ndoa za kweli zinaoeheshimiwa na kueniwa na wana ndoa wa kweli! Ila makratasi yaliyoandikwa na urembo wa pete katu ziviheshimu daima! Mtu kama ndoa yake anaizalilisha asitegemee mimi nitaiheshimu! Mtu kama sehemu yako umeigeuza jalala na sie twatupa taka zetu!
 
Ndoa ni zaidi ya makaratasi.Ni agano la watu wawili me na ke kuwa wataishi kama mume na mke..Agano hili ni mbele za Mungu..makaratasi na saini ni mbwembwe tu..Kama wenye ndoa hawaheshimu hupaswi kuwasaidia wasiiheshimu.Heshimu Taasisi ya ndoa kama maagizo yanavosema ya Mungu na serikali.Unless Imani yako inakutaka usiheshimu.
 
Aaaaaaaaaah wapi! Tuanzie NDOA NI NINI? Mimi naheshimu ndoa za kweli zinaoeheshimiwa na kueniwa na wana ndoa wa kweli! Ila makratasi yaliyoandikwa na urembo wa pete katu ziviheshimu daima! Mtu kama ndoa yake anaizalilisha asitegemee mimi nitaiheshimu! Mtu kama sehemu yako umeigeuza jalala na sie twatupa taka zetu!

So unaweza kuiba mume wa mtu?
 
Back
Top Bottom