Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
unajiamini mzee,hehe kuna namba hujakutana nazo lazma mwnyw ushtuke mbna huyu bnt is actn so cold na harudi,wanaume wenyew weng hv hakyanan ungeisoma namba kwangu
Wanaume wengi lakini wanaume suruali ndo wengi. Dume linalohudumia mpenzi wake hata lifanyaje mwanamke ndo anakuja kuomba msamaha hata kama umelala na dada yake. Kizazi cha kike cha sasa kimeendekeza pesa tu. Ww mwenyewe unaongea tu ungekuwa wewe ukaona shida moja baada ya nyingine zinakurudia na kuanza kukuelemea ungeomba ww msamaha.