maumivu ya kusalitiwa ni makubwa hasa kama mtu ulimwamini sana, mpe nafasi lakini pia ujiandae kwa uamuzi wowote atakaouchukua
Kwenu wadau..
Ki ukweli sijui hata nianzie wapi...ila nimekua na mpenzi wangu for almost 3years nw. ninampenda na kumheshimu sana. n since niwe nae sikuwahi kucheat but last week i cheated na akajua n nw she is mad at me....she hates me..bt i love her n i do regret kwa nilichofanya....ila tuu kitu kimoja am not ready to loose her.....na nimeomba msamaha moa than once. please...nisaidieni wadau nifanyeje ili anielewe n forgive me. coz i real lov her.....and am deeply sorry and regretfull.
Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??
Hv ukimpenda mtu na hutaki kumpoteza how come unatafuta mwingine??tamaa nyingine hizi mmmh
Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??
hayo maneno ya kingereza
umeweka ili tujue umesoma au!usiwe -----.kama kiswahili andika kwa
kiswahi.
Pole sana Mkuu, Binadamu hakuna Mkamilifu, kikubwa elewa wapi ulipojikwaa ili kesho usije jikwaa tena, hakuna kitu nakichukia kama kumuumiza moyo mtu anayekupenda hasa kwa kum cheat, ila ndo yashatokea, Muombe Radhi, hoping atakuelewa na usirudie tena mkuu. Kila la kheri.Kwenu wadau..
Ki ukweli sijui hata nianzie wapi...ila nimekua na mpenzi wangu for almost 3years nw. ninampenda na kumheshimu sana. n since niwe nae sikuwahi kucheat but last week i cheated na akajua n nw she is mad at me....she hates me..bt i love her n i do regret kwa nilichofanya....ila tuu kitu kimoja am not ready to loose her.....na nimeomba msamaha moa than once. please...nisaidieni wadau nifanyeje ili anielewe n forgive me. coz i real lov her.....and am deeply sorry and regretfull.
Aiseeh!! Kumbe...Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??
Atarudi tu asikupe shaka huwa wanarudi tuuuu. Hawanaga pa kwenda kivileee. Mwanamke akipenda bwana kapenda tofauti kabisa na sisi.