Nimemuumiza....

Ibrahim K. Chiki

Verified Member
Apr 5, 2011
577
250
Kwenu wadau..
Ki ukweli sijui hata nianzie wapi...ila nimekua na mpenzi wangu for almost 3years nw. ninampenda na kumheshimu sana. n since niwe nae sikuwahi kucheat but last week i cheated na akajua n nw she is mad at me....she hates me..bt i love her n i do regret kwa nilichofanya....ila tuu kitu kimoja am not ready to loose her.....na nimeomba msamaha moa than once. please...nisaidieni wadau nifanyeje ili anielewe n forgive me. coz i real lov her.....and am deeply sorry and regretfull.
 
Ibrahim K. Chiki

Verified Member
Apr 5, 2011
577
250
she needs time.. u cant expect her to be mad at you today then back to normal the next day.
you betrayed her, she is mad. all u can do is apologise and hope she forgives u. goodluck

thanx a lot...trust mi nimegain a lot from this
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,438
2,000
Jambo la kwanza nenda kapime ngoma kwanza, baada ya hapo mengine yatafuata
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,994
2,000
Kwenu wadau..
Ki ukweli sijui hata nianzie wapi...ila nimekua na mpenzi wangu for almost 3years nw. ninampenda na kumheshimu sana. n since niwe nae sikuwahi kucheat but last week i cheated na akajua n nw she is mad at me....she hates me..bt i love her n i do regret kwa nilichofanya....ila tuu kitu kimoja am not ready to loose her.....na nimeomba msamaha moa than once. please...nisaidieni wadau nifanyeje ili anielewe n forgive me. coz i real lov her.....and am deeply sorry and regretfull.
Give her time
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
dawa ya moto ni moto mruhusu na yeye aende siku moja kwa yule anayemsumbua sumbua kumtongoza then i come back uone maumivu yake yalivyo!!
ANA KILA HAKI YA KUACHANA NA WEWE!!
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
^^
Jiweke katika nafasi yake,angekuwa amekusaliti wewe, Je ungesamehe? Usijibu hapa
^^
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
kwa wengne ni "usaliti" dhambi isiyosameheka, omba Mungu mpenzio asiwe mmoja wao
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Sio kitu kidogo na kirahisi hivyo, Mpe muda atakuelewa. na akikataa kukuelewa muelewe pia.

Kwenu wadau..
Ki ukweli sijui hata nianzie wapi...ila nimekua na mpenzi wangu for almost 3years nw. ninampenda na kumheshimu sana. n since niwe nae sikuwahi kucheat but last week i cheated na akajua n nw she is mad at me....she hates me..bt i love her n i do regret kwa nilichofanya....ila tuu kitu kimoja am not ready to loose her.....na nimeomba msamaha moa than once. please...nisaidieni wadau nifanyeje ili anielewe n forgive me. coz i real lov her.....and am deeply sorry and regretfull.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom