Nimemuotea kibisa!

Nakumbuka huyu nyoka aliwahi kusababisha mzee mmoja kutupa Biblia aliokuwa anaisoma chini ya mti,maana nyoka alijiachia kutoka juu ya mti akadondokea kwenye Biblia,kilichotokea ilitupwa mbali sana kabla ya mzee kugundua kuwa asingepaswa kupanic kwani alikuwa ameshikilia neno la Mungu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vinyoka vipo vingi, kiliniingilia chumbani katika purukushani kikasababisha nichane net yangu
 
Nawaza umewezaje wezaje yani kumkamata? 😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…