donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
ukiwaotea 'nyuki wa mashineni' nitagi pia
Haka kajamaa kaliingia ghetto nikakamata.View attachment 1424745View attachment 1424746
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ilikuwaje?Unaishi makongo juu nini?
Kwa dar hao nyoka wamejaa Sana maeneo hayo.
Mie wakati naishi huko nyoka aliingia ghetto kupitia dirishan na kuangua kitandani aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekaa kipinzanipinzani[emoji23]
Mwache aende zake mwana kwenda unajua ni huyu pekee ndio alikutana na kuongea na Eva pale bustanini?
Jr[emoji769]
Unaishi makongo juu nini?
Kwa dar hao nyoka wamejaa Sana maeneo hayo.
Mie wakati naishi huko nyoka aliingia ghetto kupitia dirishan na kuangua kitandani aisee
Sent using Jamii Forums mobile app