Nimemuota jirani yangu akiwa chumbani kwangu usiku

Pole sana ndugu, hebu tupe tabia zako tupate kukushauri ie;
wewe ni mlevi?
Ni mzinzi?
Unasali?
Una tabia za udokozi/wizi?
Nakusubiri nikusaidie
 
weka namba yake hapa nimuonye aache huo mchezo
 
Huyo ni mwanga, alitaka kukufanyia kitu ukashtuka. Huenda alishafanya baadhi ya vitu ndio maana unaweweseka.
 
Mkuu ni Mara ngapi umeota umeokota PESA usingizini?
Je ulipoamka ulizikuta?

Ndoto usiziamini sn mkuu
 
Kuna uwezekano mkubwa kwamba jirani yako huyo ni mchawi. Dumu katika sala na maombi kwa Yesu Kristo na mtu huyo atashindwa vibaya.
 
Anafanayaje labda
 
Anakutaka huyo kasubiri mtongozo kajichokea sasa kaamua kukutokea usingizini
CHAKARIKA Mkuu.
Anamtaka na binti ni mchawi. Atakuwa anakuja kujisevia mpaka ahakikishe amemla sawasawa
 
Reactions: BAK
Binti kishaliona dushe na kafall in love na dushe hivyo atakuwa anazuka usiku wa manane ili kucheza nalo πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Anamtaka na binti ni mchawi. Atakuwa anakuja kujisevia mpaka ahakikishe amemla sawasawa
 
Du kwahiyo alikuchungulia mkuu
 
Sasa nimeanza kuami JF inapoteza credibility ...Kisa nilichokiwasilisha ni cha kweli na nahitaji msaada ajabu ...nimepitia michango yote na asilimia 95 watu wanechangua utani,masihara kejeli nk!
Inashangaza kidogo kwa Forum kama hii!
 
Okoka. Mpe Yesu maisha yako ili wachawi waache kukuchezea.

Chagua moja uwe mchawi sana au uwe mchaMungu sana ili uwe salama.

Ushauri wangu kuwa mchaMungu masharti ya uchawi ni magumu hata wao wenyewe wanajuta kwanini waliamua kuwa wachawi.
Hii ni sahihi kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…