Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Hatari sana!, FUSO anakazi nzito ya kubeba mizigo. Ha ha haaaaa!
 
Ur demanding perfection from her,, wewe uko perfect? Omba Mungu atulize moyo wako
 
linda baba usikatishwe tamaa na mafisi ya humu,ni mwanaume bwege peke yake anaeacha kumlinda mke wake,na hawa wanaopinga humu utakuta hadi toilet wanasindikiza wanawake zao,wige mi namlinda vizuri tu.
 
Teh teh mlinde tu mkuu. Hata bila mawasiliano akiamua kuchepuka anachepuka vizuri tu.
Mbinu zipo kibao. Hata akikuachia simu yake ukae nayo mwaka mzima kama ni mchepukaji atatimiza tu. Hongera lakini kazi unayo!
 
Naomba nikuconsult tafadhali.
 
Mleta mada ukitaka kuwekeza kwenye mapenzi, dishi litayumba mda sio mrefu! Haya mambo kizungu zungu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…