Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Hamna mwanamke kama wewe hiyo tu nikujibaraguza.
Tayari hapo Kuna kamlango kamefinguka na vya sirinj vimeshaonekana , Ile trust uliyokua nayo tayari inaanza kumomonyoka kidogo kidogo, kama barafu inavyoyeyuka juani.
Kwanza inaweza kuanza kujitenga kidogo kidogo , the conversation will feel different, the natural connection of haerts zitapungua , hutamjua Tena kama ulivyokua unamjua, utampa sex lakini hutampa hutafungua moyo wote katika tendo Hilo.
Usirahishe sana hili jambo it's either likusombe na wewe yaan wewe pia kuwaza kulipa na kujustfy kulipa kisasi, au unaweza kulishinda na ukabaki imara daima ukamponya mmeo pia.
Wanaume do acts like babies na fools na tunayo majuto mengi ya maamuzi yetu ila hatuachi tunarudia Tena na Tena.
Tunahitaji wake WA kutukumbusha sisi tuna thamani ipi katika familia zetu na mke amabyo pia atazido kuonyesha thamani Yake kwetu na hata kujiongezea thamani zaidi kwa kujua Nini mme wake ana value sana kwake.
Omba sana Neema maana kwa binadam ni ngumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
 
Yote yaliisha sasa ni historia..
Japo uliyoyasema ni kweli kabisa...
He is there for me and our family that is all matters...
Otherwise Neema ya Mungu yatosha...
 
Nimepasha kiporo juzi kati cha ex ana watoto wawili ila haishi na wanaume wote waliomzalisha anapigaa vizingaa huyooo
nimejikutaa namkaushiaa tuu apite hiviii
 
Aisee hatari! Kumbe nawe wajanja wameonja de libolo la mume🤣🤣🤣🤣
 
Halooo, unamuonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Hawa sasa ndio wanawake super woman. Mwanamke unakaaje kiboya boya huku unajua mume ana mcheps, unaanzisha timbwili mpaka ajue kiwa wee hutaki ugense kwenye ndoa yako. Mweleze huyo anazingua kwa kutokuanzisha varangati
 
☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️
 
Mloge mapema kabla hajalogwa na mpango wa kando
 
Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Dah mtuombee sana sana maana Kuna nyakati mchepuko anazingua hadi unatamani umwambie My Wife wako!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…