Nimemuona mwana jf kitaa

Ungemjibu kwa PM, na kumuuambua kwa PM

Mliyaanzia kwenye PM
Mngeyamaliza kwenye PM
Kama unajua maana ya ustaarabu
Mwehu akikuponda ya yai vinza, na wewe uchukue yai vinza umponde???

Mbona wakati anaanza tu kukutongoza
Zile popoz zake zote za PM
Ungekopi na kupaste hapa
Nadhani umgemuumbua zaidi

Kwa sasa natafsiri hamkukubaliana terms tu
He was one of your interest
Hivi nachoma mafuta yangu na muda kumfuata bazazi??

Pia nakutafsiri unaweza kwenda extreme za ku-blackmail mtu
Kama umeamua kumuumbua kwa staili hii
Akchwali, umenitisha



sikuwezi wewe ndio wale wale. endelea kutoa povu lako. kikubwa msg dlivrd. bye
 
Ingekuwa ni mimi na baiskeli yabgu sijui ungenianzishia thread ya namna gani...



shda sio baiskeli. sina shida na pesa ya mtu ninazo tayari shida una baisikeli waazima gari na kujifanya lako. liv ur lyf.
 
We Mpole hta kama nia yko ni kumpa za uso hujasaidia chochote, kwani jamaa anatumia pm kurubuni. Solution ilikua umtaje live wadada wamjue, vinginevyo umejiumbua. Kongosho nakupa big up kwan unaonekana ni wife material.



sheria zinaruhusu nimtaje?
 
nkajua umeniona mimi. mimi hua naazima bajaj miguu mitatu pale makochi kwa Frank. napigia misele hadi huko kwenu. sasa hivi mafuta yalivyo panda bei niazime gari ya mtu halafu inizimikie njiani tabu ya nini? sanasana kama wikend mkuu kalala na gari nimehakikisha ina mafuta hapo ndo ntaiba niende zangu club sio kuazima. hata ikihalibika unaileta taratibu na kuipark zako kimya. kesho akiona atapiga kele mwisho wa siku anaipeleka gereji mwenyewe. haya mambo ya kuazima unaweza umbuka bule. Mia
 
GXmia ilikuwa yake.
ulijuaje kaazima?
au kwa sababu uliazima jeep ukakonkludi kuwa naye ka-kopi pesti?

kwani sheria inaruhusu kumuumbua kama ulifanya hapa sasa?
Ulishaamua kutotumia PM kumuumbua,
malizia kabisa kumtaja.

Mtaje, ukipigwa BAN nitakuombea msamaha

mtaje tu PM ndo zinakatazwa kuanikwa....:lol:


sitaji jina naanika pm msome mwandiko mtamjua tu mana ni moja wa maarufu hapa jf.
 
Back
Top Bottom