Nimemuona mwana jf kitaa

mpoleeee

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
310
130
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
 
Lol...
Ndio umeamua kuanza mwaka hivi??
Tusimulie yote basi baada ya kuonana...
Kitu pekee ninauhakika nacho huyo sio MTM...
 
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.

kumbe umeingizwa choo cha kiume mwaka mpya huu pole sana..

hapi nyu iya mpoleee
 
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.

Pole ! Binti yaonekana yameshakujiri, ukisikia kelele za mtoto hospitali chumba cha sindano maanake sirinja inapenetreti !
 
hapana mimi mtoto wa fisad hio no zawad toka kwa dad nimezaliwa na kukulia kny pesa usnchukie lkn
 
Mie naomba niku PM. Kwenye RV nitakuja na (at best) Bajaj but most likely kwa daladala. Ila nitajitahidi ku- finance drinks. Waonaje?
 
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.

Mh.....mtoto Idd kazua Balaaaaa..

Last edited by a moderator:
Mie naomba niku PM. Kwenye RV nitakuja na (at best) Bajaj but most likely kwa daladala. Ila nitajitahidi ku- finance drinks. Waonaje?

hiv ndio inatakiwa badala ya kujvika visivyo beta b ur sef.
 
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka

lol.......... nimeipenda hii safi sana kaumbukaje teh.
 
Back
Top Bottom