Nimemuona malikia wa mchwa leo

Nimemuona malikia wa mchwa leo

Dah una bahati sana kama kweli ndio yeye.... Uliweza kuchukua hata picha?
 
yes ni kweli kabisa yule ndio malkia wa mchwa ni mkubwa sana kuliko hata funza unayemsema na anatumbo kubwa ambalo limejaa maji ndani ndio huwawezesha mchwa kuchukua na kuchanganya na udongo na kuendelea kujenga nyumba zao na ungeangalia vizuri utakuta kuna mchwa wakubwa kiasi na ni wakali sana wana mzunguka kumlinda asipatwe na madhara yeyote ikiwa ni maadui hata jumba wanalomjengea huweka ulinzi wao mkali sana na huwezi kumfikia kwa urahisi over!!!

yes, sasa nataka kujua huyu malikia yeye huzaliwa hivi hivi au anaanza kuwa mchwa wa kawaida! na ni kwanini wasiishi pamoja na mfalme mchwa, pia malikia huyu anaweza kuishi miaka mingapi?
 
MASWALI MAZITO MAJIBU HAKUNA INAONESHA JF HAKUNA ENTOMOLOJIST SUBILI NIKAPERUZ HAYA MAMBO, HUMU SIDHANI KAMA NTAPATA JIBU
Ila Kuna Vichwa Pale Sua Vinavyodili Na Wadudu Km Dkt Rwegasira Wangekuwa Wanapita Huku Tungefurahi Wenyewe
 
Mchwa ni wadudu wadogo wanaoishi makundi makubwa katika vichuguu. Takriban aina zote za mchwa hula mbao. Kila kundi lina malkia, mfalme, askari na wafanya kazi. Askari na wafanya kazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme mwanzo walikuwa na mabawa wakati wakiwa vijana.

Kazi ya mfalme ni kumtia malkia mimba naye hutaga mayai mengi sana. Kazi ya askari ni kulinda kichuguu na wafanya kazi wanafanya kazi zote nyingine. Mara kwa mara wafanya kazi wanawapatia majani yenye chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa kumbikumbi.

Mchwa ni mdudu anayefanya kazi kwa bidii na akili, hii ni kutokana na utawala wa wadudu hao ulivyo.

Wao huona ni vema kujenga maskani yao kwa manufaa yao, hali ambayo wakati mwingine huwa ni adui wa mazingira kama ilivyo katika sehemu za tambarare. Vichuguu vikubwa huonekana kwa wingi na kuharibu sura ya eneo husika.

Hata kama ukijenga nyumba ni lazima umuondoe malkia wa kichuguu husika kwani kila kichuguu huwa na utawala wake. Malkia mmoja wa mchwa huweza kuishi miaka kuanzia mitano na kuendelea.

Utaujuaje, umri wa malkia wa kichuguu, ukichimba na kumpata utahesabu pingili zake ambazo ndio idadi ya miaka yake aliyotawala mahali hapo. Malkia akiondolewa na mchwa huondoka eneo hilo kwani mtawala wao amekufa.

Mchwa hutafuna karatasi, mbao na mimea mbalimbali kama chakula chao kikubwa huku wakiendelea kujenga maskani yao. Hupatikana kwa wingi mahali kusikokuwa na mvua kubwa za mara kwa mara.

Adui mkubwa wa mchwa ndani ya nyumba ni maji yenye sabuni, ukiyamwaga katika sakafu husababisha mchwa kukimbia eneo hilo.

Dah una bahati sana kama kweli ndio yeye.... Uliweza kuchukua hata picha?

yes, niliweza kuchukua picha yake lkn I tryed many times to attach lkn inakataa,
ngoja nijaribu tena
 
Mchwa ni wadudu wadogo wanaoishi makundi makubwa katika vichuguu. Takriban aina zote za mchwa hula mbao. Kila kundi lina malkia, mfalme, askari na wafanya kazi. Askari na wafanya kazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme mwanzo walikuwa na mabawa wakati wakiwa vijana.

Kazi ya mfalme ni kumtia malkia mimba naye hutaga mayai mengi sana. Kazi ya askari ni kulinda kichuguu na wafanya kazi wanafanya kazi zote nyingine. Mara kwa mara wafanya kazi wanawapatia majani yenye chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa kumbikumbi.

Mchwa ni mdudu anayefanya kazi kwa bidii na akili, hii ni kutokana na utawala wa wadudu hao ulivyo.

Wao huona ni vema kujenga maskani yao kwa manufaa yao, hali ambayo wakati mwingine huwa ni adui wa mazingira kama ilivyo katika sehemu za tambarare. Vichuguu vikubwa huonekana kwa wingi na kuharibu sura ya eneo husika.

Hata kama ukijenga nyumba ni lazima umuondoe malkia wa kichuguu husika kwani kila kichuguu huwa na utawala wake. Malkia mmoja wa mchwa huweza kuishi miaka kuanzia mitano na kuendelea.

Utaujuaje, umri wa malkia wa kichuguu, ukichimba na kumpata utahesabu pingili zake ambazo ndio idadi ya miaka yake aliyotawala mahali hapo. Malkia akiondolewa na mchwa huondoka eneo hilo kwani mtawala wao amekufa.

Mchwa hutafuna karatasi, mbao na mimea mbalimbali kama chakula chao kikubwa huku wakiendelea kujenga maskani yao. Hupatikana kwa wingi mahali kusikokuwa na mvua kubwa za mara kwa mara.

Adui mkubwa wa mchwa ndani ya nyumba ni maji yenye sabuni, ukiyamwaga katika sakafu husababisha mchwa kukimbia eneo hilo.

ndugu Asante, asante kwa majibu mazuri japokuwa nina wasiwasi kuwa majibu yako hujayatoa kichwani ni kama vile ume google lkn thanks a lot?
Sasa nina maswali ya niongeza yanayomuhusu malikia peke,ivi ikitokea malikia amekufa ni vipi anapatikana Malikia mungine! pia nataka kujua mfalme anakuwa na umbo gani! na kila baada ya muda gani malikia hutaga mayai, hayo mayai hutamiwa na kundi lipi, na ni kweli kuwa malikia humua mfalme kila baada ya kupandwa?
 
Mchwa ni wadudu wadogo wanaoishi makundi makubwa katika vichuguu. Takriban aina zote za mchwa hula mbao. Kila kundi lina malkia, mfalme, askari na wafanya kazi. Askari na wafanya kazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme mwanzo walikuwa na mabawa wakati wakiwa vijana.

Kazi ya mfalme ni kumtia malkia mimba naye hutaga mayai mengi sana. Kazi ya askari ni kulinda kichuguu na wafanya kazi wanafanya kazi zote nyingine. Mara kwa mara wafanya kazi wanawapatia majani yenye chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa kumbikumbi.

Mchwa ni mdudu anayefanya kazi kwa bidii na akili, hii ni kutokana na utawala wa wadudu hao ulivyo.

Wao huona ni vema kujenga maskani yao kwa manufaa yao, hali ambayo wakati mwingine huwa ni adui wa mazingira kama ilivyo katika sehemu za tambarare. Vichuguu vikubwa huonekana kwa wingi na kuharibu sura ya eneo husika.

Hata kama ukijenga nyumba ni lazima umuondoe malkia wa kichuguu husika kwani kila kichuguu huwa na utawala wake. Malkia mmoja wa mchwa huweza kuishi miaka kuanzia mitano na kuendelea.

Utaujuaje, umri wa malkia wa kichuguu, ukichimba na kumpata utahesabu pingili zake ambazo ndio idadi ya miaka yake aliyotawala mahali hapo. Malkia akiondolewa na mchwa huondoka eneo hilo kwani mtawala wao amekufa.

Mchwa hutafuna karatasi, mbao na mimea mbalimbali kama chakula chao kikubwa huku wakiendelea kujenga maskani yao. Hupatikana kwa wingi mahali kusikokuwa na mvua kubwa za mara kwa mara.

Adui mkubwa wa mchwa ndani ya nyumba ni maji yenye sabuni, ukiyamwaga katika sakafu husababisha mchwa kukimbia eneo hilo.

Hahaa,mkuu umekuja vizuri ila bado kuna kaswali.

Yupi anaanza kati ya malkia au mchwa wengine??
 
Siku zote anaanza Malkia halafu ndio atakuja kutaga mayai ambayo yatajiengua kwa kila kundi na hapa ukumbuke yule Malkia ni kumbikumbi, na ndio maana msimu wao utaona kumbi kumbi wakishatoka kwenye kichuguu baadae kama watanusurika na kifo huwa wanafatana wawili wawili. Sasa wale ni jike na dume huwa wanaenda kuanzisha kijiji.
 
MASWALI MAZITO MAJIBU HAKUNA INAONESHA JF HAKUNA ENTOMOLOJIST SUBILI NIKAPERUZ HAYA MAMBO, HUMU SIDHANI KAMA NTAPATA JIBU
Ila Kuna Vichwa Pale Sua Vinavyodili Na Wadudu Km Dkt Rwegasira Wangekuwa Wanapita Huku Tungefurahi Wenyewe

nakusubiri uperuzi uteletee majibu,
c unajua watanzania ni wazito kusoma vitabu, ngoja tusome apa jf ili tutoe ushamba kidochu
 
Aisee hata mimi kuna siku nilikuwa site...nilipata kuwashuhudia hawa wadudu wakiwa kwenye msafara...wakiwa wamejitengenezea kama kibarabara hiv na juu kama wamejenga....wanasafiri wakiwa wanapishana pishana....niliwapiga picha na video...Sema sijaweza kuatach video humu Jf....kams unaweza ni PM nitumie namba nikutumie uangalie dah!very interesting kiukweli.....
 
Siku zote anaanza Malkia halafu ndio atakuja kutaga mayai ambayo yatajiengua kwa kila kundi na hapa ukumbuke yule Malkia ni kumbikumbi, na ndio maana msimu wao utaona kumbi kumbi wakishatoka kwenye kichuguu baadae kama watanusurika na kifo huwa wanafatana wawili wawili. Sasa wale ni jike na dume huwa wanaenda kuanzisha kijiji.

kwa maana hiyo bc tuseme hakuna mfalme kwenye familia bali kuna malikia tu, na kuna mtaalamu mmoja aliwai kuniambia kuwa huyu malikia huwa anatiwa mara moja tu ktk maisha yake, sasa je ni wakati gani hutiwa kabla hajawa malikia au wakati tayari ameshakua malikia?
 
huyu ndio malikia 1428440265821.jpg
 
Back
Top Bottom