Nimemuona malikia wa mchwa leo

Nimemuona malikia wa mchwa leo

mr brocken

Senior Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
166
Reaction score
48
leo ktk shughuli zangu za hapa na pale za kujitafutia riziki nilipata deal la kupasua magogo ili kupata kuni wakati nikiwa kwenye zoezi hilo nilipasua gogo lililokuwa na mchwa wengi na ndani yake nikaona funza mkubwa mweupe asiye na miguu wala macho ila yuko kwenye chumba maalumu cha pekee kazungukwa na chenga ndogo ndogo zenye asili ya unga nadhani ndio chakula chake, wajuji wa mdudu huyo wakaniambia eti funza huyo ni malikia wa mchwa, sasa naomba wataalamu wa maisha ya mchwa wanidadavulie japo kdg maisha ya mchwa weupe,
karibuni sana siyo tukijua japo kdgo maisha ya viumbe wengine,
 
pita kule
 
alikua ni malikia elizabeth au?baada ya kupasua kuni ukarudi kwenye mb 8 nane zako......loading..............
 
ha ha ha ha haaaa,mimi nikajua malkia wa nyuki aliyekuwa anawafadhili simba sports..
 
mleta mada usikatishwe tamaa na vibirikizi waliojazana humu JF, naimani wataalam watakuja na tutapata elimu maridhawa inayohusu wadudu.
 
hahahahaaaaaaaaa! nimecheka sana mkuu hadi nikasahau shida zangu kwa muda
 
Hoja hii ni nzuri na inahitaji ufahamu wa juu wa hao viumbe kama una akili panzi bora kupita na Sio kuharibu Uzi wa mtu hata kama jamiiforum ina watu wa tofauti wengine wamekuwa tofauti zaidi mpka unashindwa kujua kama ni binadamu au ni viumbe vyenye mfano wa binadamu
 
yes ni kweli kabisa yule ndio malkia wa mchwa ni mkubwa sana kuliko hata funza unayemsema na anatumbo kubwa ambalo limejaa maji ndani ndio huwawezesha mchwa kuchukua na kuchanganya na udongo na kuendelea kujenga nyumba zao na ungeangalia vizuri utakuta kuna mchwa wakubwa kiasi na ni wakali sana wana mzunguka kumlinda asipatwe na madhara yeyote ikiwa ni maadui hata jumba wanalomjengea huweka ulinzi wao mkali sana na huwezi kumfikia kwa urahisi over!!!
 
mr brocken! umeshuhudia jambo zuri na bigup sana! unakata gogo, ukaona 'kitu' bila shaka ulisoma ama hata kusikia juu ya malkia wa mchwa, na ukaona ni vema uoneshe umakini wako wa kazi za kawaida- kuna siku utangundua makubwa! nakupongeza sana! usife moyo' endelea nao" wanao kebehi hata tuwaulize genus na hata species ya mchwa ni wachache watajibu- ila wewe umemwona!...entomologist! kuna siri nyingi za mchwa tunatakiwa kukopi kama kuishi kwa umoja na wao 'mchwa' wameweza- si kila jambo ni siasa" jamii mbele!!!! mchwa hawana chadema wala ccm! ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom