Nimemuachia bill mchunaji

Kama vp rusha picha zao tuone ukubwa wa midomo yao.
 
Lakini inawezekana hii ilikuwa first date....


Bora iwe hivyo.... halafu kwa haraka huo ni mchepuko. So sometimes inabidi wakomeshwe kwa style hiyo.

Kama mwanaume hasomeki wadada huja 2 (ulinzi ati)
 
mkuu wa kaya aliwai sema ukitaka kula sharti na wewe..........
 
Lakini inawezekana hii ilikuwa first date....




Kama mwanaume hasomeki wadada huja 2 (ulinzi ati)

Na jamaa kawatoka vile vile...... teh teh..... Ila mimi ningevaa ukauzu tu. Bili ikija nalipa za wawili tu. Halafu huyo mgeni ana mwenyeji wake. Sasa hivi huu ni ulimwengu wa kibepari ukijifanya mtu wa kutoa utaishia kuchekwa hata na wachovu. Mr. Nice yuko wapi sasa hivi?
 
mbona ni ndogo sana kwa mtu mwenye nia ya starehe....kama tatizo ni privacy si ange postpone maongezi tuu yakawa siku nyingine kuliko kukimbia.

Tatizo sio bill...... kwa mtizamo wa kawaida ni hilo tela alilofunga..... Tabia mbaya sana. Hapo hata kama mnataka privacy hupati.....mgeni katoa jicho utafikiri anaangalia blue print...... teh teh.....
 

pole zao wadada wenzangu. maskini unatolewa na under age unategemea nn?

na sehemu wanazopelekwa ni zalau tupu.

ni bora utoke mara moja kwa mwaka malaika ili mradi tu uthaminike. poleee yao
 
​aibu ya nini,wakome, kaitwa mmoja wamekuja wawili,gaadeeeemu

Mkome nyinyi wenye hela za nawazo, mxeeeeeeew kama alijijua Hana hela alimuitia nn sehemu yenyewe aliyowapeleka ya bei rahisi na imemshinda.
 
Tatizo sio bill...... kwa mtizamo wa kawaida ni hilo tela alilofunga..... Tabia mbaya sana. Hapo hata kama mnataka privacy hupati.....mgeni katoa jicho utafikiri anaangalia blue print...... teh teh.....

ha ha ha ha lakini mkuu ina maana jamaa alitaka kumaliza biashara kwenye first date???kuku wako manati ya nn??
 

So cheap. Unakimbia 29000 tu na huku unataka demu? You are a disgrace to we ,men.
 
Washa kuku ale mshele ataliwa na wali. Liwa ule. Unataka cha bure hata kwenye arusi yako nenda wewe na bibi arusi wako peke yenu. Usialike watu,ama itakuwa umechunwa.
 
Umeiita appointment akija na mwenzake kwenye interview unaruka nini?
 

Unaonekana mwanafunzi. Yaani umuite MTU aje name mwenzie ndio umuachie bili ya 29,000. What if alikua hana hela mfukoni. You are such a saddist. Si ungewapa hata 20k ukasepa. Au ulitaka mzigo ukaona itakua ngumu Lisa kaja na mwenzie?.

Mambo mengine ni utoto tu.

Nahisi utakua sharobaro wewe. Ndio mnajitia kunywa wind hook vi mshahara vyenu vya milioni moja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…