mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Acha sifa mkuu hupati demu humu wa buree kwa kulipa bill ya Tsh 29000.. Umejuaje pengine anaweza kulipa zaidi ya hiyo ila angekuja peke yakemkichapiwa bado mnakuja kujaza server JF
ni Tsh 29,000/= ama $29,000/=
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege
Alisha chunwagaHa hahaaa kwa hiyi rafiki yako alikuwa anawajua
yaani elfu 29 ndo imekufanya ukimbie,,,alaf unakuja kujisifia humu loooh je wangekuja wanaoagiza hennessy za laki na nusu kwa chupa si ndo ungehama nchiJana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.
Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.
Wewe bill ya tsh 29,000 unaona NDOGO eti!!! Hapo angekuwa peke yake mpk room unachukuamkuu baada ya wewe kuondoka huyo rafiki yako alirudi na kujilia vyake kiulaini... mjini akili, mwanaume gani unalalamika bili ya elfu 29.
Wanakula kama viwavi jesh yani ni shidah!madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege
Siku nyingine wangekuja watatu maana wangekuona bwege.mbona ni ndogo sana kwa mtu mwenye nia ya starehe....kama tatizo ni privacy si ange postpone maongezi tuu yakawa siku nyingine kuliko kukimbia.
Demu mzuri ni kuanzia tabia, kitendo cha kubeba marafiki ni wazi huna huruma, huna haya na unapenda sifa kwahiyo ushapoteza sifa ya uzuri.Heheheh hii chai inanoga
Ila Shauri yako ....ukiendelea hivyo mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji
Hata mie kanishtua labda anasoma.Hadi nimeona aibu Mwanaume unakimbia bill 29000 kweli???????