Nimemuachia bill mchunaji



WeWe niShIdaaaaq. NimEcheKea Kingese!!
 
Umefanya vyema sana umemualika yy kaja narafiki yake hayo mazungumzo yataenda vipi sasa du ni hatare mademu wq bongo bwana malimbukeni mtu km hutak si usije kuliko kuleta ukauzu
 
Ukitoka out na mimi basi jitahidi bill yako icheze around buku tano (tsh 5000/-) only! Ikizidi hapo jiandae kulipa mwenyewe!

dah najaribu kufikiria 5000/- atakula na kunywa nini?? aaahh savannah moja na mshikaki mmoja...hatari.
 
Umefikiri kama mimi, money isn't an issue here. Tatizo ni miadi ya watu wawili tena wa kimapenzi, potelea mbali kama ingekuwa mambo mengine sioni shida...!

huyo jamaa angelipa bill yake na demu aliemualika tu. ila kutoroka hata yeye sio mstaarabu.
 
Wewe usiwasingizie wanawake wa changombe kwa kuwapa hiyo kasoro,hali hiyo inaweza kumtokea mtu sehemu yeyote, sema hukuja na pesa ya kutosha umeona ukimbie, na ulichofanya si kitendo cha kistaarabu, ungemuambia wazi huyo rafiki yako nimekualika wewe peke yako, kwahiyo umuache na uhuru wa kuamua atamlipia rafiki yake au wataondoka bila kula.
 
Binafsi sina hiyo tabia na siipendi, sio m~binafsi lakini huwa napenda tuwe wawili tu maana tuna mengi ya kuongea hata kama ni siku ya kwanza, naapa sjawahi kwenda na shoga yangu na ninachojua mimi me wengi hawapendi hiyo tabia na sipendi kumkera mwenzangu, ila ilitokea siku moja tukiwa sehem ni jirani na shoga yangu, ikatokea tu shoga kanipigia na akaniuliza nilipo nilichomjibu subiri nikupigie, nilimweleza mwenzangu kuhusu hiyo simu aliniambia nimweleze tulipo na kama mimi sitojali nimwite na nilifanya hivyo nilichomwambia ila anakunywa bia maana mimi sinywi bia. Na sisi ke tuwe tunaangalia wa kutoka naye na kapochi kawe na kitu kidogo
 

Here we dont talk about wife material,we just talk about hit and run kinda bit.chas.s

Kuhudumia ukoo wa mke wangu its fair and am supposed to do so

Swali linabaki vilevile vipi kuhusu hawa wenzie wanaojifanya wanajua kuhudhuria show zisizowahusu!!!!???

Ni bora angemtaarifu jamaa kuwa anakuja na mwenzie ili jamaa akae mkao wa kuchunwa.
 

Uko sahiiiiii sanaaaa mkuuuu mke na hawala nitofauti
 
huyo jamaa angelipa bill yake na demu aliemualika tu. ila kutoroka hata yeye sio mstaarabu.


Katika hali ya kawaida kibinadamu sio rahisi. The best shot kwangu ni kukupa na kuondoka. Mtu anayejitambua angemtaarifu jamaa kuwa anakuja na rafiki yake. Hiyo ni date kiongozi, sio outing ya marafiki..
 


Upo sahihi kabisa buddy!!
 
Hadi nimeona aibu Mwanaume unakimbia bill 29000 kweli???????

Tatizo hapo siyo bili ilimshinda ila jamaa alikuwa anatoa funzo ili asije akarudia tabia ya kukusanyana kwenda kumkomoa jamaa pindi akialikwa mahali
 
Mademu Wa kibonge wamezidi kututia hasara bora ulivyowasepa maana wangeendelea kukufrisi
 
Katika hali ya kawaida kibinadamu sio rahisi. The best shot kwangu ni kukupa na kuondoka. Mtu anayejitambua angemtaarifu jamaa kuwa anakuja na rafiki yake. Hiyo ni date kiongozi, sio outing ya marafiki..

ila kutoroka ndio rahisi...kibinadamu???
 
i think the most logical question hapa kwa mleta mada ni je HIYO ELFU 29 ALIKUA NAYO? asije akawa alimchukulia poa mtoto akabeba hela ya chips shingo. alivyoona vyuku mixture heineken zinaagizwa akashtuka kua MJINI MSINGI MBIO.
 
ila kutoroka ndio rahisi...kibinadamu???


Kutoroka sio rahisi na wala sio ubinadamu. The point hapa ni kama ni date basi ijulikane, kama ni outing basi ijulikane..! Swala la nani analipa, kwa wadada walio wengi ni la mwanaume...!
 
Kutoroka sio rahisi na wala sio ubinadamu. The point hapa ni kama ni date basi ijulikane, kama ni outing basi ijulikane..! Swala la nani analipa, kwa wadada walio wengi ni la mwanaume...!

huyo dada sio mstaarabu hilo liko wazi....ila na huyo jamaa kutoroka nae kaonyesha si mstaarabu au muoga....kama angekuwa na ujasiri angelipa tu ya kwake na huyo aliemualika mwingine watajijua wenyewe au angemwambia sina hela ya kuwalipia wote wawili au kistaarabu zaidi angelipa tu na kujua anadeal na demu wa aina gani.
 
dah najaribu kufikiria 5000/- atakula na kunywa nini?? aaahh savannah moja na mshikaki mmoja...hatari.

Hell no! Still hayo yatakuwa matumizi mabaya ya buku tano yangu! Cha msingi apate soda ya Tshs 600,chips yai 2500,boda boda 1000 change anunue vocha ya kunijulisha kuwa amefika na aseme anashukuru kwa kutolewa out! Asibip!
 
dah umeniaibisha sanaa..29000 elfu mwanaume unakimbia,basi ulivyo ondokaa unakumbuka uliwaacha washikaji flani hivi pembeni ndo mimi na campani yetu.mademu walivyo ona hurudi na kukupigia cm wakacheka,wakaema huyu jamaa kweli ----,wakaomba kujoin na sisi asee walikupakaa kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…