Mrejesho juu ya Zawadi ya Birthday niliyomnunulia mpenzi wangu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari mabibi na mabwana...nilikuja kuomba ushauri hapa juu ya zawadi niliyomnunulia mpenzi wangu.

Kiukweli wengi walinipa possitive feedback.

Kiukweli zawadi nilimkabidhi na nashukuru sana amefurahi hatari hakutegemea hilo kutoka kwangu na kiukweli anasema hajawahi kupewa zawadi kama ile tangu aanze mahusiano nimeweka alama kubwa katika maisha yake.

Nimefurahi pia kwa yeye kufurahi maana nimeamuwa niwe furaha katika maisha yake.

Nimepanga Mwezi huu wa 12 katika kuumaliza mwaka mpya nimpeleke mtoto mzuri Zanzibari japo hata kwa siku mbili au 3 tukapumzike na stress za mwaka mzima.

Hitaji langu kutoka kwenu naombeni mnitajie sehemu nzuri za kumpeleka mpenz wangu huyo huko Zanzibar ili tukapunguze stress za maisha kidogo, natumai mtanisaidia kwa hilo.

Nb: wanaume tuwapene furaha hawa wanawake wetu mwanamke akiwa na furaha na wewe hata ile rate ya kuchepuka inapunguwa pia wana aibu hawa nao muda mwingine ila ukijifanya kichwa ngumu raia watakutombea tu manina zako


Nipo chini hapa nasoma ushauri wenu
 
Back
Top Bottom