Sio vizuriNiliwahi tumiwa na mtu tigo pesa mara 3 hivi ikawa jumla ni 250,000 ndani ya miezi 3. Sikuwahi kuzitoa hata shilingi siku moja nikairudisha nakumuambia ' mtumie mama/baba hii hela hakika watafarijika sana siku nikianza kujiuza ntakuambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Broo huyo mwanamke achana nae.... Huyo si mtu... Atakuwa ni malaika.... Sasa we pambana kama hujaambulia laana...
KabisaNiliwahi tumiwa na mtu tigo pesa mara 3 hivi ikawa jumla ni 250,000 ndani ya miezi 3. Sikuwahi kuzitoa hata shilingi siku moja nikairudisha nakumuambia ' mtumie mama/baba hii hela hakika watafarijika sana siku nikianza kujiuza ntakuambia