Nimemtumia M-Pesa kanirudishia

Nimemtumia M-Pesa kanirudishia

Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
Unatuma hela kwa mademu alafu baadae unalalamika vyuma vimekaza??

Huna akili
 
Unkuta umetuma buku ya vocha tu tuma lki nne akiirudisha ndo urudi na mrejesho
 
Si huwa mnajinasibu humu jamvini pesa ndio kila kitu. Tafuta wauzaji mkuu.
 
Hahaaaaa. Kama ni kweli huyo dada kiboko aiseee.

Hivi ajuagi pesa hazitoshagi na matumizi yake huwa hayaishi. . Kama alikuwa tayari na full tank si angefanyia mambo mengine.

Hivi mleta uzi kwa hali hiyo bado utasema Mkuu kabana. Lol
 
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
Labda alijua unataka kuazima gari.!!!kama m-pesa kagoma!!mtumie kwa tgo pesa na akigoma...!mtumie airtel money na akigoma tena...mtumie halopesa na hapo akigoma mpe mkononi na akigoma tena "mmwagie tindikali".
 
Nadaiwa hela ya umeme hadi nimeenda kujificha kwa rafiki yangu, mzee unatupa tu hela
 
Hahahaha ..

Mvuto ni nini?? ...binadamu wote tunavutiwa wanaume na wanawake.

Wanaume wengi wanadhani vile tunavyovutiwa nawanawake nawao pia wanavutiwa nasisi ivoivo , a BIG NO .

Wanawake huvutiwa na wanaume kwa njia tofauti nasisi tuwavutiavyo.

Mwanamme utaangalia je huyu ana makalio ,anasura ,anamatiti mazuri??

Ila mwanamke haangalii hiyooo...( mademu pekee ndo wataangalia je anapesa,anasix pack,analips ) ....LAKINI MWANAMKE ANAYEJIELEWA HATOKAA ANGALIE IVO.

Sasa basi , kama unadhani huyo mwanamke utamvutia kwa pesa imekula kwako...

Kwa mwanamke pesa namali ni nyongeza ya mvuto wako kwake lakn sio kivutio kikubwa...Kuna midada inafanya kazi zamaana inamipesa yao , kasoma kwelikweli ,alafu uingie nagia yako ya pesa na gar?? Utaishia kupata mademu.

Chakushangaza utakuta siku moja ,uyo mwanamke anatoka namuhuni umemzidi kila kitu ,ila alichokuzidi yeye ni " Anajua mwanamke anataka nini".

Pole sanaaa, ukifuata vigezo namashariti ,neno Hapana litabaki kua msamiati kwa mwanamke yoyote utakayemtongoza.
 
mnakosea sana......amekuambia anashida na pesa?.....et pesa m mpesa. tuma kwangu
 
Bac na ye atakuwa kakupenda ila anazuga. Mpotezee kama wk hivi. Trust me atakutafuta mwenyewe.
 
hakupendi wewe wala visenti vyako si uitume kwa wazazi wako
 
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
 
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
Ss we km ulimtumia buku 2 lazima akurudishie, hiyo ni dharau umemdharau sana. Hebu fanya kumtumia kilo 5 tuone km atarudisha au vp then utuletee mrejesho hapa hapa
 
una kibamia nini kwanini unatanguliza pesa wenzako huwa tunakula kwanza halfu yeye ndio anaanza kukutafuta kwa simu
 
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
teh teh pole bro huna chako hapo... bora kakujulisha hilo mapema!!
 
Hahhahaaa...umenikumbusha kipindi niko seco kuna ticha mmoja alimpenda duu mmoja hivi wa fom six aliyekua anabamba sana hapo shule...bas nasikia siku moja ticha akamrushia huyo dada vocha ya buku mbili....dahh huku na huku ticha anaona anarudishiwa buku 5 na mdada

Ilikua soo shule nzima!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom