Nimemtumia M-Pesa kanirudishia

Nimemtumia M-Pesa kanirudishia

Hahhahaaa...umenikumbusha kipindi niko seco kuna ticha mmoja alimpenda duu mmoja hivi wa fom six aliyekua anabamba sana hapo shule...bas nasikia siku moja ticha akamrushia huyo dada vocha ya buku mbili....dahh huku na huku ticha anaona anarudishiwa buku 5 na mdada

Ilikua soo shule nzima!!
nahisi huyo ticha alihisi kuzimia sio kwa dharau hiyo
 
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
Yeah huendaa ulimtumiaa msg ulotoka kutoa so siombaya kukurudishiaaa so pambana na nyakat zako
 
tajili hahongwi na maskini,tajili anahonga maskin!!
!
!
ukitaka kumpata mpe salam tu ndo hongo bola kwake
 
Mie mwanaume unitumie pesa naona kama umenidharau, sijiwezi, sina akili na nguvu ya kutafuta pesa mpaka nitafutiwe..
Labda nae hakuwa mbali na mawazo kama ya kwangu.
 
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
umetuma shi ngapi, isijekuwa umetuma alfu kumi akaone mizengwe. ye kazoea milioni moja.
 
Hahaa.. Unazingua mzee. For no reason umetuma tu.

Money impress only cheap. Na wao wana akili
Jamaa ameaibisha taasisi ya uanaume.. unaaanzaje kutuma pesa na hujampa mtu kisomo? mpe demu kisomo, mlishe falsafa zako aanze kukuelewa kwanza haya ya pesa ni baadae sana.. halafu wengine wana kazi zao nzuri hivo vihela mbuzi sijui vya mafuta wanapata zaidi ya mara mia.. udhaifu mkubwa sana huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom