Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.