Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Ni kweli hana mume mwanaume kamili hawezi kutumia tiktok labda kama una share na mke wako lipstick
ushaniona tik tok !!???
we jamaa mi nakuona kama una akili na vile ni maarufu kumbe ni choko tu!!
Yaan maada ya msingi unaleta uchoko

Ukiwa huna akili jitahidi kuwa makini Nitarudia

“Niligundua kua mke wangu anapenda tik tok hivo nikafungua acc huko??
Kwaiyo ulitaka nifungue acc jf afu nimtext tiktok??

Akili kisoda hizi
 
kama tu ww ulivyo mjinga kutojua ujinga wa huyo boya uko wapi..... mafunzo ya kiume uliyaruka ukaingia darasa la kike...
Mi naona we ni mjinga zaidi,yaani kujua mkeo siyo mwaminifu ni ujinga?
Aisee... maana hata nchi hufanya vetting Kwa baadhi ya watu,bila wao wenyewe kujua kama wanafanyiwa vetting... Sasa wakimwambia mtu kua tunakufanyia vetting,si atafanya camouflage?
We mtu ni mjinga sana,nyie ndo mnaoa vituko ila hamjui.
 
ushaniona tik tok !!???
we jamaa mi nakuona kama una akili na vile ni maarufu kumbe ni choko tu!!
Yaan maada ya msingi unaleta uchoko

Ukiwa huna akili jitahidi kuwa makini Nitarudia

“Niligundua kua mke wangu anapenda tik tok hivo nikafungua acc huko??
Kwaiyo ulitaka nifungue acc jf afu nimtext tiktok??

Akili kisoda hizi
Sasa kama haupo tiktok umetumia account gani kumtongoza? Au chai uliyoleta imekushinda hata mwenyewe?
 
Mimi nadhani hakukosea kumpima mke wake, shida labda kuja kueleza hapa kwenye jukwaa. Lakini kwanini mwanamke akubali kutongozwa wakati anajua ana mume ? Na wanaokupinga ni wale ambayo hawako tayari kukubali ukweli au nawao wanatabia mbaya. Mimi nadhani kama unapata nafasi ya kumjua modo hiyo ni bahati, ukajua na ukafanya maamuzi Mapema
 
Inaitwa Flirting wanawake wanapenda sana, especially mume au boyfriend wake ukiwa kauzu yaani haujawahi ata kumuita baby, kumsifia etc.

Wanawake wengi wanapenda kutongozwa tongozwa sana. Mtongoze ata kama ni mke wako.
Ha ha ha

Mkuu hii ya “Mtongoze hata kama mkeo”😂😂NIMEICOPY
 
Mi naona we ni mjinga zaidi,yaani kujua mkeo siyo mwaminifu ni ujinga?
Aisee... maana hata nchi hufanya vetting Kwa baadhi ya watu,bila wao wenyewe kujua kama wanafanyiwa vetting... Sasa wakimwambia mtu kua tunakufanyia vetting,si atafanya camouflage?
We mtu ni mjinga sana,nyie ndo mnaoa vituko ila hamjui.
Achana nae kuna watu humu akili zao visoda
 
Back
Top Bottom