Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

Cha kukushauri,
Mimba itolewe TU, Hakuna namna.
HIi Ni fedhea na sumu kubwa sn utatengeneza

Otherwise uyo binti kajishikiza maksudi na amedhamiria kumpindua dada yake
 
Aje Njombe huku niwasaidie kumaliza hilo tatizo.
 
Hata hujampima na kuhakikisha Kama kweli ni mjamzito, umekimbilia humu na jasho linakutoka, unahema juu juu, come down bro
 
Baada ya vipimo, na majibu yakija kuonesha ni mjamzito wala usiogope.

Jiandae kisaikolojia, na wala msithubutu kushauriana kucholopoa
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Ila sisi binadamu ni mabingwa wa kutafuta majanga.

Any ways mambo madogo tu hayo Tena msithubutu kutoa hiyo mimba. Wewe utaendekea na huyo mdogo, mkubwa anatafuta mtu mwingine..na maisha yataendelea. Usiwaze sana
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Inategemea na umbali wa kwenda kwenye hizo siku zake. Kwani ulimpatia nauli ya kuendea huko?
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
We are polygamist in nature
 
Weka kiswahili chako vizuri!

Mdogo wake mpenzi wako!
Na si mdogo wake na mpenzi wako!
 
Hivi ni kwanini mara zote mdogo mtu anakuaga mkali kuliko dada yake..?🤔
 
Inasikitisha sana...

Wewe na huyo mdogo wake demu wako wote hamna akili...
 
Shetani aliwapitia wapi si mngekataa kuongozana naye? Muoe huyo huyo na pia umesababisha chuki kwenye familia!
 
Umecheza ns team B kuifunga kirahisi hivyo ni kawaida.
Kapimeni kwanza halfu uje tukupe mbinu.

A.Dogo akatoe mbunye kimpango kwa mtu kiherehere apewe mwana, hii njia utaongeza dhambi na utaumia miaka yote

B.Muoe huyo dogo, kubali kusema

C.Muitoe.

4.Sema ukweli dogo azae, ulee mwana na ukose wote.

Ukichimama nchale, ukikimbia nchale

Pole sana kaka.
😂😂😂😂 Nimecheka ulivyo malizia kuandika.nchalee
 
Back
Top Bottom