My sis AshaDii miss you more my sis
Bora nikuone one humu kwa muda inatia moyo kuwa tuko pamoja
Kibaya kafanya kosa na anajisifia kwa kujitangaza kosa alilolifanya na hebu jiweke kwenye viatu vya rafikio aliyekuamini licha ya mapungufu yake na matatizo yake kujua kuwa umetembea na mke wake
R' nimewamiss pia. Tupo pamoja sasa, hata kama ni hapa na pale si consistently ila nipo my dear.
Vijana siku hizi wanaona ni sifa kutangaza ovyo hasa tabia/vitendo kama hivi. Swali linabaki, alivyolala na mke wake kaongeza nini? Katatua tatizo lile lililo kuwepo awali? Anasema siku zote alikuwa ni rafiki mwema kwake na hapo hapo anasema kaamua kulala na mkewe (aliyempa nafasi muda mrefu); angekuwa ni mwema kwa rafiki yake basi toka hapo kitambo angemweleza rafiki yake amkanye mkewe nyenendo zake (or angemkanya mwenyewe).
Nahisi alikuwa na nia hiyo toka kitambo na hii ni justification tu ili asisikie guilty (ikiwa kweli ana utu).
kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku akisahau tulikotoka. huku amesahau mimi ndiye msuruhishi mkuu wa ndoa yake ambayo mara zote yeye ndiye mkorofi. nikaona dawa ni kukubali nafasi nilipewa na shemeji wangu muda mrefu , niliikataa kwa kuheshimu mahusiano yetu, ndg yangu utanisamehe sana