sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku akisahau tulikotoka.
Huku amesahau mimi ndiye msuruhishi mkuu wa ndoa yake ambayo mara zote yeye ndiye mkorofi.
Nikaona dawa ni kukubali nafasi nilipewa na shemeji wangu muda mrefu , niliikataa kwa kuheshimu mahusiano yetu, ndugu yangu utanisamehe sana.