Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,009
- 4,380
hivi inakuaje unakaa unaanza kutunga haya maushenzi we mtoto
Pole sina jingine maana kilichokukuta kimemkuta nyaniMkuu sio siasa.
Hadi sasa nimeshindwa kufanya vitu kiufanisi akili yangu inawaza HIV tu
We acha tu kama ni serious we are the same brother nawaza sana ukiruka mkojo ukakanyaga mavi ni kitu kibaya bado umefanya usaliti kabisa .ila hata nikifa nakuwa nimekufa kwa utamu!!!!
Kama una wasi wasi si uwai kutumia zile dawa za PEP... kwanza pengine katoto kawatu kazima sema kalikupenda tu au kalizidiwa na genye... kwani ulijua kua utalala chumba kimoja na mhudumu au alikuja ye mwenyeweMazali ya kifo?
Ila kwa imani yangu nnayojipa yule mtoto atakuwa ni mzima ila wasiwasi wangu tu
Uwiiiiroho huwa inaniuma sana nikikumbuka hela yangu nilioipata kiugumu nikanunua bando ili nitoe mawazo afu nakutana na upumbavu kama huu
Condom ulikumbuka au ulimkula kavu mkuu
Hii chai ina sisimiziJana nilikuwa narudi Dodoma chuoni sasa nilichelewa kupanda gari hadi ikanilazimu kufika saa 4 usiku.Nikaona kufika chuoni tatizo coz ishu za hostels hazijawa settled nikaamua kutafuta gesti yoyote tu hata nikilala chini.
Nikaingia gest fulan hv nikakutana na wahudumu wawili wakanikaribisha vizuri ila kuulizia chumba nikawa nimekosa,ila wakaniambia kimebaki kimoja tu ambacho wanatumia kulala kama nipo tayari kukitumia niseme.
Kwa uchovu na usingizu nilikubali tu kuchukua hicho chumba nikaingia nikalala zangu usingizi wa nguvu.
Night kali nilihisi kuna kitu kama kinanichezea najihisi rahaaaa,ile kushtuka ni moja ya mhudumu anafanya yake kanikalia juu sasa mimi na uchovu wangu nilishindwa hata kumtoa.Akadai ananitoa uchovu,nikataka kukataa ile nakaripa akaniziba mdomo halafu akaniwekea kidole ishara ya "sshhhh!! .
Dah kidume sikuwa na ujanja demu kanikalia juu akaninyonya mate ikabidi nioneshe ushirikiano,nilikula mzigo hadi saa 10 hv usiku toto lina joto tamu balaa.
Nikashtuka saa 12 mtoto bado kaniegamia tight balaa,nikajikuta nakula cha asubuhi.Nikaenda zangu kuoga nikajiandaa kurudi chuoni,ile nipo nje naondoka akaja tena akanirudishia hela yangu niliyolipia akidai utamu niliompa unatosha.
Nikapokea pia akanipa namba yake ya simu then akaanza kurudi zake ndani nikaanza kutathmini mzigo kule nyuma kitoto cha rika kama miaka 23 hv.
Nimerudi salama sasa najifikiria kama kaniacha mzima kweli huyu mtoto halafu pia dhambi ya usaliti roho inanisuta.
SIRUDII TENA
Mkuu huyo classmate usije mla dry ili kama umeukwaa udanje alone .Ase kumbe hata elimu ya chuo umeshidwa kujilindaMkuu tatizo sio hivyo mi sina tabia ya uzinifu maana tangu nije Dodoma mwaka jana nilisex na demu mmoja tu ambaye ni classmate wangu.
Ila ya jana ilitokea bahati mbaya sana..
Condom ulikumbuka au ulimkula kavu mkuu
Mkuu kawaone madokta kuna sindano unapigwa kuzuia maambukizi nahisi ni kabla ya 72hrs .Ndio mana wanasemaga ajali kazini uwezi kuuza mechi kirahisi ivyo na number ukapewa pole sanaMkuu mimi sio mzinifu na elimu naitumia vizuri,iliyotokea ni kama ajali
Naam. Na ukimkuta amekaa juu ya bodaboda utadhani ana boonge la chura kumbe sponji tupuDuh kwa hiyo chura lake huwa anavaa chupi zenye sponji kubwa au sio
Dawa ya UKIMWI imepatikana huko Israel Mkuu.Condom ulikumbuka au ulimkula kavu mkuu