Nimemsomeshea watoto na sasa hanitaki tena bila sababu

Unaota halafu unatuhadithia ndoto yako sasa au ni utunzi huru wa tamthiria za JF?
 
Mi sipendi maswala ya kufikirika tokea fb sawa haya mambo yapogo ila sio kama ulivyoongeza chumvi,enewei no way we move on je ulizaa nae ? Kiukweli haya mambo yapo ila si kama hivi
 
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia .

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
Miaka yote 25 ulishindwa kumpa mimba? Kama hivyo ni kweli, ndomaana akakuona hufai akakutapeli. Kwahiyo hukujenga hata chumba na sebule?
 
Huu uzi ni chai ya kuwapaka single maza.

Ila ni mambo ambayo huwa yana uhalisia. Tuliahasema hapa Single maza sio wa kuoa. Ni wako kimkakti tu mlelee wanawe wakue akafaidi peke yake. Pili mwanamke yeyote hata asiye single maza anaweza kuwa na wewe kwenye ndoa kwa zaidi ya mika 10 kumbe sio mkeo ni yuko kimkakati tu.

Kuna watu humu huja kwa mbwembwe kusifia wake zao walioshi nao 10+ yrs, na kujisifu kuwa wamepata na kuwananga wanaolia na ndoa zao, men ni swala lanmuda tu. Hawa ke wa kizazi hiki ni hasara tu kwa me. Ukivahatisha shukuru ila wengi ni vichomi tu. Wanatutia tu tuwavushe. Wakifanikiwa hawana shukrani
 
Ulichofanya Mungu Pekee Atakulipa Hiyo Fadhila. Ni Kama Hazina Umeweka Inawezekana Ikachelewa Lakini Malipo Ni Hapahapa Duniani. Atakuja Kulipwa Mwanao Au Ndugu Yako Kwa Wema Uliotenda. Endelea Kutenda Wema Palipo Ulipojaliwa. Usife Moyo Wala Usikate Tamaa Mungu Yuko Pamoja Nawe Ipo Siku Wema Wako Utalipwa. Kuwa Na Subira.
 
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia .

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
muwe mnatuuliza huku tarime tuwape uzoefu wa ndoa
Single maza hatakiwi na ni laana kabisa kuwa ndo mke wa kwanza. huyo ni second wife au tenth wife kabisa
akizingua hata hushtuki. Singo maza aliyezalizaa akiwa hom kwao kabisa. hawana mshipa wa aibu hata chembe
nyie jidaini mna huruma , nawaonya tena .
 
yaani hapo mkuu siyo kwamba huyo baba watoto alikuwa hahudumii watoto wake, alikwa anahudumia tena analipa kila kitu
huyo singo maza akawa anachikichia
 
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia .

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
Ukome kabisa wewe nani alimwambia uoe mwanamke ambaye amesha shindikana kwenye ndoa yake tena ana watoto wawili 😂 Single mother yeyote ni wa kupiga na kusepa ukioa tu imekulamba pole yako cha msingi endelea kuishi kwa ndugu hao ambao lazima walikukanya usifanye ilo jambo ukawadharau 😂
 
Ukome kabisa wewe nani alimwambia uoe mwanamke ambaye amesha shindikana kwenye ndoa yake tena ana watoto wawili Single mother yeyote ni wa kupiga na kusepa ukioa tu imekulamba pole yako cha msingi endelea kuishi kwa ndugu hao ambao lazima walikukanya usifanye ilo jambo ukawadharau
Mh
 
muwe mnatuuliza huku tarime tuwape uzoefu wa ndoa
Single maza hatakiwi na ni laana kabisa kuwa ndo mke wa kwanza. huyo ni second wife au tenth wife kabisa
akizingua hata hushtuki. Singo maza aliyezalizaa akiwa hom kwao kabisa. hawana mshipa wa aibu hata chembe
nyie jidaini mna huruma , nawaonya tena .
Du
 
Naona afisa mmoja wa kataa ndoa kaamua kutafuta ID mpya kukazia ajenda yetu pendwa...... Hapa zinatafutwa point 3 za lazima😂😂😂

Iwe kwa kutunga au kwa kisa cha kusoma mtandaon au kwa kusikia kwa jiran,,, kikubwa point n point 🚶🚶
 
Naona afisa mmoja wa kataa ndoa kaamua kutafuta ID mpya kukazia ajenda yetu pendwa...... Hapa zinatafutwa point 3 za lazima

Iwe kwa kutunga au kwa kisa cha kusoma mtandaon au kwa kusikia kwa jiran,,, kikubwa point n point
Mtaje
 
Back
Top Bottom