UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Mwenzio anataka ushauri si madongo kuwa mtu mwelewamimi naona kakuambia ukweli kabisa, kazi hiyo na ya kutunza familia ni ya mwanaume, kama utaendelea na tabia hiyo namshauri aendelee kukudharau tu, pia hivyo viwanja viwili inaonekana umeficha ndo maana kakuambia hivyo, unastahili kabisa kudharaulika mkuu, namuunga mkono mkeo, timiza wajibu wako mtoto wa kiume.
Hata KAMA HUIJUI KESHO UTAFIKA UKIWA MZIMA NI SHARTI UIWAZIE NA KUIPANGIA KALENGO NDUGU YANGUHivi hizi nyumba watu wataenda nazo makaburini?
Wewe jenga tu si utaishi humohumo ikiwa yako au yake au yenu ni nini tofauti?
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?
Kuwa muwazi na strict, mpe za uso kwamba kwa sasa kipaumbele ni kujenga nyumba ya familia, na jina liandikwe Bw na Bi.... au andikeni jina la mtoto (siyo wa nje ya ndoa), mnaweza kuchagua kimoja kati ya hivyo ulivyonavyo mkabadili jina. Lakini hata hivyo naona utakuna na kikwazo cha ushirikiano, hiyo nyumba utajenga mwenyewe tu na mwenzako atakuwa anajenga yake pembeni. Huyo mwanamke anatokea pande zipi.....sorry, nje ya mada!
kwani ilikuwaje hd ukampa mtoto wako viwanja vyote viwili, nadhani tatizo ndio limeanzia hapo....
wakuu hebu nisaidie nyie m naosema kuandikisha mali mr nad mrs...
mfano gar unaandikaje hayo majina? ujue hapa kuna masuala ya TIN ambapo ni majina halisi tu...
Je hiz nyumba tunazojenga huku uswaz, skwata, kiwanja 9x12 unaandika wapi hiyo mr na mrs?
wanandoa wanatakiwa kwanza wajiamin kuwa huwaachani ili waweze kufanya maendeleo kwa pamoja, ukiona watu wanaanza kuviziana na kufichana mambo au kuleteana dharau za kijinga, ujue taa ya njono imewaka
aisee mwanaume nawaambia tena usikubali mwanamke achangie maendeleo ya familia kwa asilimia kubwa atakunyanyasa lazima tu kama si leo kesho
Mimi nashangaa mnamhukumu kuandika majina ya mwanae wa kabla ya ndoa wakati hajasema ni mazingira gani yalifanya amuandike mwanae.
Halafu kama wewe una mtoto kabla ya ndoa huwezi kumuandika kwenye mali yako yoyote?
Eti kisa mamaake itamuhusu????
Mumeo hana bahati, I feel sorry for him!
Vv
Yaani anunue kiwanja halafu aandike bwana na bibi? Hii kanuni mbona ngumu. Kiwanja nikinunua naandika jina langu tu jina lake litatokea kama amechangia. Kuandika jina la mtoto mmoja tu wakati unao wengi huo ni upendeleo unaoweza kuleta balaa baadaye.
kwa nini viwanja uandike majina ya mtoto mmoja?
mimi naona kakuambia ukweli kabisa, kazi hiyo na ya kutunza familia ni ya mwanaume, kama utaendelea na tabia hiyo namshauri aendelee kukudharau tu, pia hivyo viwanja viwili inaonekana umeficha ndo maana kakuambia hivyo, unastahili kabisa kudharaulika mkuu, namuunga mkono mkeo, timiza wajibu wako mtoto wa kiume.
Ni kauli ngumu, lakini kwa namna moja AU nyingine, umeisababisha... Nasema hivi kwa sababu, inawezekana na yeye anaumia kwa wewe kuandika jina la watoto wako wa kwanza (WA NJE YA NDOA) kwenye viwanja vyako viwili... THE SAME QUESTIONS UNAZOULIZA, JIULIZE KWENYE HIVYO VIWANJA VIWILI....
1. Ni vya familia..??
2. Ni vya huyo mtoto.??
3. Kama vya huyo mtoto then mama wa huyo mtoto si vinamuhusu...??
Mamaa yuko sahihi kwa sababu ulianza kumwaga mboga, anamwaga ugali usilalamike,,
huwezi kununua kiwanja then unaandika jina la mtoto wako wa nje ya ndoa akuangalie tuuu, bora ungesema umendika jina la mtoto wenu mliezaa wote.
ukitaka usalama nunueni kiwanja cha wote kwa jina la Mr & mrs mjenge uone kama atakuambia maneno kama hayo.
Mkuu Sukula, wengi wanaingia kwenye ndoa bila kujua nini hasa maana ya ndoa. Kama mleta hoja ni Mkristo basi anasikitisha sana, yanayomkuta chimbuko ni yeye mwenyewe, inawezekanaje mtu yuko kwenye ndoa halafu ananunua viwanja kwa jina la mtu mwingine? Hiyo ndoa ni ya kujionyesha tu, sioni kama kuna ndoa hapo.
Vv