Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia then anijulishe. Kumwambia afanye hilo zoezi hapo tukiwa pamoja akakataa.Nishaurini bandugu hiyo ni halali kweli mimi kusubiria mpaka amfuatilie mhusika ndio aniambie?asamteni kwa ushauri.