Hehehe ...sasa mbona Bananga anamfirigisa dogo janja?Taarifa chini ya kapeti kumbe kikao cha Washili kiliratibiwa na kufadhiliwa na CCM Mkoa wa Arusha.Mipango ilianza siku ya msiba wa Baba yake Kigogo Fulani wa CCM.
Anatafuta Uenyekiti wa BoardDuh mpaka Gen. ana njaa? Hii nchi ngumu kwakweli
Anawinda uteuzi au kitu gan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo email kakuoneSha?
1) Kaituma kwa nani Na lini?
2) ilikuwa ya Taarifa Au kuomba Ruhusa?
3) aliambatanisha Na uthibitisho ( attachment) ya huo udhuru?
4) alijibiwa?
5) Aliujulisha Uongozi wa Chama chake Bungeni kuhusu kutokuwepo kwake?
6) ilionesha huo udhuru Ni wa Muda gani?
Msilete Ujinga
Heshima kwenu wanajamvi,
Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.
Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.
Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.
Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.
Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.
Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.
Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Ningekuona wa maana ungemshauri aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na sasa kawa mwenyekiti wa SACCOS ya Kaskazini mkoa wa Pwani,kutoka uwaziri wa mkuu wa JMK hadi mwenyekiti wa SACCOS huko Kiluvia,aibu gani hii,lakini wewe umemuona Mzee sarakikya pekee.Heshima kwenu wanajamvi,
Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.
Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.
Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.
Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.
Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.
Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.
Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
CDF ni wadhifa mzito sana
Hakuna kupepesa macho. Nasari ni muelewa. Hakuna alichokifanya kwa kutokuelewa. Drive iliyopo kwa sasa ni e-government. Kama alituma email kwa spika na kujibiwa, kuna tatizo gani? Ushaidi utaonesha. Short of that sheria itafuata mkondo wake.Taarifa chini ya kapeti kumbe kikao cha Washili kiliratibiwa na kufadhiliwa na CCM Mkoa wa Arusha.Mipango ilianza siku ya msiba wa Baba yake Kigogo Fulani wa CCM.
Unashangaa nini mb Matiko aliwakilisha barua toka kwa spika wa bunge iliyoonyesha alitumwa na Bunge kwa kazi maalum nje ya nchi na bado haiku thaminiwa itakuwa email ya Nassari?
Mtoto wa Sarakikya au alikuwa Sioi Sumari ??Ndg umesahau Nassari kipindi anagombea ubunge kwa Mara ya kwanza alishindana na nani kutoka Ccm.?
Ni mtoto wa Sarakikya.!
Kwa hiyo usishangae yeye kuhudhuria hapo ana masilahi kwenye kikao hicho.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuona wa maana ungemshauri aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na sasa kawa mwenyekiti wa SACCOS ya Kaskazini mkoa wa Pwani,kutoka uwaziri wa mkuu wa JMK hadi mwenyekiti wa SACCOS huko Kiluvia,aibu gani hii,lakini wewe umemuona Mzee sarakikya pekee.
Hujui Sheria
Ukiambiwa usisafiri Nje ya Nchi kwa sababu ya Masharti ya dhamana ukaleta Barua Kuwa ulisafiri Safari ya Kikazi hiyo sio defence
Ulipaswa kumwambia aliekutuma Kuwa huna Ruhusa ya kusafiri Na Kama anataka usafiri amuombee idhini ya kusafiri.
Huu ndio utaratibu jee aliufuata?
Yale Ni Mawazo ya Judge Na haya Ni Mawazo ya PohambaJe jaji aliyewatoa mahabusu aliongea huu upuuzi unaouongea hapa uchochoroni? Hizo sheria za jiwe baki nazo huko Chato.
Wameru Hawapendi upuuzi
Nassari aoneshe Dispatch book iliyosainiwa Na Afisa yoyote wa Bunge kuthibitisha Kuwa aliandika Barua na kuipeleka ofisi ya Bunge kwa ajili ya Ruhusa nanTaarifa
Kwanini Uongozi wa Chadema Bungeni haufuatilii Mahudhurio ya Wabunge wake?
Hapa Nassari kaamua kwa makusudi kabisa kupunguza idadi ya Wabunge wa Chadema msitafute kisingizio Cha kuhamisha Magoli