Kutoa taarifa...
Na wewe hata lugha ya picha imekushinda.
Sio kutoa Taarifa Ni kuomba ruhusa
Taarifa ya kutokuwepo Unatoa Nyumbani kwako kazini unaomba Ruhusa Na wao wanaangalia nature ya issue husika unayoombea Ruhusa
Yaan Mkeo kujifungua unataka ukae Nje ya ofis kwa Miezi mitatu?, ingekuwa Yeye ndio anazaa si angeomba Ruhusa ya Miaka miwili?
Huyo Dogo kauza Jimbo Au kawa Mzembe sio Kila kitu kulaumu
Siasa Ni Kama Mpira kosa lako Ni advantage kwa Mwingine
Huenda mimi ndio sielewi, Nassari anatakiwa bungeni aonekane sura yake, au michango yake haionekani? Mfano profesa Muhonngo yuko bungeni? Umewahi kumuona akichangia? Huko bungeni nusu yao wapo kusaka sitting allowance tu ila hawana mchango wowote zaidi ya kujaza vyoo. Bunge lenyewe hilo dhaifu ndio la kwenda kuhudhuria muda wote? Kama una shughuli zako ni bora ufanye shughuli zako kuliko kwenda kupoteza muda kusikia bunge la kumsifia rais.
Mbona unapanik kwa vitu simple sana, keep calm, maswali yako atayajibu kesho.Hiyo email kakuoneSha?
1) Kaituma kwa nani Na lini?
2) ilikuwa ya Taarifa Au kuomba Ruhusa?
3) aliambatanisha Na uthibitisho ( attachment) ya huo udhuru?
4) alijibiwa?
5) Aliujulisha Uongozi wa Chama chake Bungeni kuhusu kutokuwepo kwake?
6) ilionesha huo udhuru Ni wa Muda gani?
Msilete Ujinga
Hicho kikao kilikua cha Washili au NEC ya ccm ?Heshima kwenu wanajamvi,
Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.
Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.
Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.
Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.
Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.
Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.
Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Tunajadili utetezi wake sio udhaifu wa Sheria Za Bunge
Yeye kasema aliandika Barua Bungeni nasi ndio tuna challenge ukweli wa Taarifa yake
Kwani Nassary kashasema ya upande wake ?Hiyo email kakuoneSha?
1) Kaituma kwa nani Na lini?
2) ilikuwa ya Taarifa Au kuomba Ruhusa?
3) aliambatanisha Na uthibitisho ( attachment) ya huo udhuru?
4) alijibiwa?
5) Aliujulisha Uongozi wa Chama chake Bungeni kuhusu kutokuwepo kwake?
6) ilionesha huo udhuru Ni wa Muda gani?
Msilete Ujinga
Kwani Nassary kashasema ya upande wake ?
Kwanini usiweke akiba ya maneno ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu jamaa kila mada yupo sijui anatafuta u_Monitress😂😂Na wewe hata lugha ya picha imekushinda.
Heshima kwenu wanajamvi,
Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.
Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.
Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.
Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.
Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.
Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.
Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Sema wameru CCM acha ujinga.Wameru Hawapendi upuuzi
Nassari aoneshe Dispatch book iliyosainiwa Na Afisa yoyote wa Bunge kuthibitisha Kuwa aliandika Barua na kuipeleka ofisi ya Bunge kwa ajili ya Ruhusa nanTaarifa
Kwanini Uongozi wa Chadema Bungeni haufuatilii Mahudhurio ya Wabunge wake?
Hapa Nassari kaamua kwa makusudi kabisa kupunguza idadi ya Wabunge wa Chadema msitafute kisingizio Cha kuhamisha Magoli
Kichwa cha habari ni udhaifu wa General Sarakikya kuhudhuria kikao cha kisiasa. Mada sio utetezi wa Nassari. Usijifanye unajikita kwenye mada lakini za hisia zako.
Mbona unapanik kwa vitu simple sana, keep calm, maswali yako atayajibu kesho.
Sema wameru CCM acha ujinga.
Kikao kilikuwa kinajadili issue ya Nassari Na Sarakikya akaenda Kama Mwananchi wa jimbo la Nassari sio Kama CDF Mstaafu
Mleta uzi hamjadili Nasari bali mjadala wake umejikita kwa Sarakikya kama CDF mstaafu kushiriki kikao chenye mtazamo wa kisiasa. Rejea post namba1 ya mleta mada. Kinyume na hapo umeanzisha mada yako ndani ya mada ya mwingine.
Mijadala ya Kisomi huwa tunaruhusiwa kuchepuka Nje ya mada kwa mita chache kuleta chachu Kwenye mjadala
Mijadala ya Chekechea ndio mnatakiwa mtembee Kwenye 'chaki' mwanzo Mwisho
Ulitaka comment ya mwanzo mpaka Mwisho iwe inasema Ni sahihi Au sio sahihi Sarakikya kuhudhuria kikao hicho?
Ninge jadili mambo ya Ethiopia Airline Au ya. Lipumba kushinda Uenyekiti ndio ningekuwa Nje ya mjadala
Hii Ni Mijadala ya Great thinkers