Nimemsaidia; sasa ananitongoza

Nimemsaidia; sasa ananitongoza

Mwanaume akitongozwa hasemi..huwa anahandle situation kimya kimya...baki njia kuu
 
Hizi hadithi za kitoto zimeanza kutamalaki hapa jukwaani tofauti na zamani wakati JF inaanzishwa.
 
acha uchoyo mpe company ya kitandani tena mpime afya af mjiachie ilimradi aanajua una mke asikusumbue kama huwezi nipe namba zake niponee hapo
 
We huitaji ushauri wala nini, umeamua tu kutushirikisha cha kufanya unakijua we mwenyewe.....
Btw unaishi wapi huku kwetu pia kuna vibaka nahisi nahitaji kua nasindikizwa
Da kwa maneno hayo nimepatwa na wivu gafla.Ningependa fursa hiyo niipate mimi.Iam a profesional body guard.well trained,good looking man.just consider me plz.
 
Mke mmoja Africa?
Umagharibi ndo unakufanya uombe ushauri.
Ni PM nichukue hiyo chance!
 
Back
Top Bottom