ZILLIONAIRE
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 326
- 413
Wakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!