nimempenda kanisani

nimempenda kanisani

Hamna ubaya kwa kijana wa miaka 20 kuanza ku-date.

Cha msingi ni kuangalia malengo yako, kama unahisi dating itakuharibia future, basi hamna sababu ya kujishughulisha na mambo hayo. Kuwa na msichana sio lazima kufanya mapenzi, hayo ni makubaliano kati ya watu.

Kwani ni asilimia ngapi ya wanafunzi wa sekondari wanajihusisha na ngono, wao wapo above 20?
 
taja kanisa,muda 2kutane thn unioneshe nikakuchukulie namba hat ya mama yake?

UTAMSAIDIA sana dogo ikiwezekana naya baba ake mpeni kupenda si kubaya :A S-heart-2: ila una matarajio gani na maisha yako na yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom