nimempenda kanisani

nimempenda kanisani

HAPO DOGO NGOJA NIKUPE MAUJANJA YA KUMPATA MREMBO HUYO KWA SIKU 7.

SIKU 1 . mfatilie mpaka kwao bila ya yeye kujua hiyo itakufanya upajue kwao ili umpate kwa urahisi ,

SIKU 2. Zamani tulikuwa tunagonga mpaka hodi kuuliza mtu ambaye yuko mbali na maeneo anayoishi yeye akitoka yeye tu. Ameisha, unajifanya unamuulizia kumbe una zuga kisha unachukua namba yake na kumjua jina

SIKU 3. Baada ya kuchukua namba unamtafta na kumjulia hali na kumpigisha stori walau mara tatu kwa siku ili akuzoee.

SIKU 4. Unamuahidi kumtembelea hapo mkikutana usilete habari za mapenzi ,piga nae stori za maisha na umueke wazi kuhusu maisha yako na kumjua zaidi historia yake pia.

SIKU YA 5. Mwambie akutembelee ikiwezekana ,mtafte sehemu mzungumze ,pia hapa usilete habari za mapenzi utamkimbiza

SIKU 6. Mtembelee tena kwao mpige stori au kumpa hai tu .

SIKU 7. Muite upasue jipu mueleze ukweli umevutiwa na yeye atakuelewa tu.
 
Ukimuona kanisani hutakiwi kumtongoza..

Funga kwa maombi bila kula.... Hakikisha unanena kwa lugha.

Ukisha mwona katika maono huyo wako.. Na njia ya kumpata inakuwa imerahisishwa. Kazi kwako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni vyema tuwe waawazi kwa kuwa wengi wetu tumeshaupitia umri huo. Kama kweli umempenda huyo binti sidhani kama moyoni kwako ungekuwa na uoga kwa mzazi wake kama ulivyobainisha.
Sheria namba moja ya kutongoza inasema hivi, ukiweza kuushinda moyo wa yule aonekanaye anamlinda yule umpendaye basi hapo utarahisisha njia ya kumpata yule umpendaye.
Hivyo kama kweli unampenda basi hakikisha unajipendekeza kwa mama yake kwanza na ukubalike.
 
Mbona swala dogo,subiria mida ya sadaka ongozana nae kisha ukifika mwambie asitoe yani unamtolea kwa niaba yake,andaa kikaratas chenye no. Ya sim saa ya kupeana mikono ya amani unamkabithi,ukishindwa tena usije kuomba ushaur
 
Hivi kanisani huwa mnaenda kusali au kutafuta wachumba, sikujua kama kanisani mnaweza kutongozana:biggrin:
nilisomaga shule fulani ya kikristo,pale shuleni lilikuwepo kanisa na kuhudhuria kanisani ilikua lazima sio ombi.siku za ibada ilikua kama fashion show kwa wanafunzi wa kike mle kanisani,kila demu alikua akiingia na pigo zake,yaani kila demu anaeingia sie wanafunzi wakiume macho hayo toka mlango wa kuingilia hadi anapokaa.

Ikifika kipindi cha wiki la maombi ambalo hufanyika hata usiku,watu walikua wanafanya vituko,hata kula denda wakati watu wamefumba macho wakiomba.ilikua bonge la burudani.
 
Kuna mapenzi hapa au unataka mazoezi ya viungo vya uzazi tu.
 
Asije kuwa klein tu.

mwali Klein form 4 mwaka huu subiri uone mwakani kama ntakuwa hata na nguvu ya kumsema mtu hapa.
mweeeh si unajaua kwamba ukifeli form 4 ni mbaya sana manake huna cheti cha kutumia??
 
nilisomaga shule fulani ya kikristo,pale shuleni lilikuwepo kanisa na kuhudhuria kanisani ilikua lazima sio ombi.siku za ibada ilikua kama fashion show kwa wanafunzi wa kike mle kanisani,kila demu alikua akiingia na pigo zake,yaani kila demu anaeingia sie wanafunzi wakiume macho hayo toka mlango wa kuingilia hadi anapokaa.

Ikifika kipindi cha wiki la maombi ambalo hufanyika hata usiku,watu walikua wanafanya vituko,hata kula denda wakati watu wamefumba macho wakiomba.ilikua bonge la burudani.
Ahhh safi sana ndo mana wenzetu wanaupenda ukristo kumbe mtongozano tu kwa kwenda mbele, lakini usiwalaumu hakuna hata mmoja anaye amini Yesu Mungu, wote wanajua Yesu ni binadamu ndo mana ukiwapa wanywe sumu wanakimbia, mana kama wanamini Yesu Mungu siwanywe sumu hawawezi kufa...Bibilia ndo inasema vile :biggrin:
 
mh vitoto vya siku nikajua changamoto za misha zilivyo nyingi mtajifunza first thing first lakini naona haka kanajaribu kutumia LIFO badala ya FIFO. dogo subiri jipange na maisha kwanza, Mungu kwanza halafu mengine yatafuata kwa wakati unaofaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom