Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Aisee mwl gfsonwin wewe ndio mwl wa klein kwa hiyo sitegemei kusikia klein ame fail jitahidi sana!
Daaah mwl wa kwanza wa mwanafunzi ni mzazi!
Na matokeo ya namna hiyo huwa yanaonesha kushindwa kwa
* mzazi
*mwanafunzi
*mwalimu.
Lakini sitegemei hii kutokea kwako!
Daaah mwl wa kwanza wa mwanafunzi ni mzazi!
Na matokeo ya namna hiyo huwa yanaonesha kushindwa kwa
* mzazi
*mwanafunzi
*mwalimu.
Lakini sitegemei hii kutokea kwako!
mwali Klein form 4 mwaka huu subiri uone mwakani kama ntakuwa hata na nguvu ya kumsema mtu hapa.
mweeeh si unajaua kwamba ukifeli form 4 ni mbaya sana manake huna cheti cha kutumia??
Last edited by a moderator: