Nimempenda huyu bi harusi

ha haaa, na mimi nilikataa kabisa hiyo kesi, lol!
 
utakuwa uliolewa bikra
siku mamods wakiamua kuunganisha id wengi wataumbuka sana
 
wamefunga ndoa watatu!!!!!!!!!!!! aiyaaaaaaaaaaaaaa

ni kweli wamependeza. wakati mwingine simple makeup inawapendeza watu wengine!
 
kwi!kwih!
mi nimeona hapo! hapo kwa chini hapo!kulikowekwa ua!
ila kikweli kapendeza!veeery veeery naturale!
ila dada mkubwa hebu nambie kwani mnabishania nini na shem ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…