Nimempenda Dada kabila Mgogo ili nimuoe ila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimempenda Dada kabila Mgogo ili nimuoe ila

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Jul 25, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Nimedokezwa tabia za hili kabila ambazo ni

  Ustarabu kwao sifuri
  Nitegemee wageni wajao bila taharifa (Kuhamia)
  Nitegemee kuwalea wakwe zangu, shemeji na kadhalika
  Usafi kwao ni zile nguo wazivaazo kwa siku hiyo.

  Ndugu zangu, je kuna ka ukweli kokote?
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hujampenda ungempenda ungempenda kama alivyo.
  Jichunguze tena kama umependa kweli maana kumbuka ukipenda unakufa na sikio la kufa halisikii dawa.
   
 3. MGOGOHALISI

  MGOGOHALISI JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 353
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nenda field ukafanye reserch mwenyewe. Huna tofauti na Magamba wanaokaa mezani kusubiri wazungu waandike mikataba ya madini wao kazi kusaini tu tena hadi peni wanaazima
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Ukipenda mwanamke upende na mapungufu yake
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Nampenda! Tatizo usipo sikia la mkuu, uvunjika guu.
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Jiandae kufungua na Bucha ya nyama maana mashemeji zako hakika watakusaidia kwa biashara hiyo ya Nyama kwani ni magwiji
   
 7. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Ili nigharamike katika the rest of my life. Aya kama ya Mifuko ya jamii ninayo kutana nayo, yananitosha
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,837
  Trophy Points: 280
  hivi kweli ile dhana ya mapungufu ya makabila ipo bado? aisee hata humu jf hatujifunzi?
   
 9. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 467
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Umempenda?? Tabia za kabila lake zinakuhusu nini? Oa anzisha serikali yako yenye sheria na taratibu unazozitaka otherwise hutaoa popote maana mpaka umpende mgogo ina maana kule kwenu hujawaona hao kina dada wa kikwenu, au na kwenyewe ni walewale?
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,659
  Likes Received: 21,878
  Trophy Points: 280
  Hebu fikiria kuwa Livingstone Lusinde ni shemeji yako
   
 11. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Ukiolewa au kuoa mkuria, unategemea nini. Muhindi ni muhindi awezi kuwa mwarabu.
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Kuhusu kuhamia ilo kweli jipange provided kama kwao choka mbaya.
   
 13. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Nitashidwa kupata njia ya kupitia, kila njia nitaona aibu. Au yule sijui nani W-malecela

   
 14. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kwetu wazuri tena sana, ila miteremko kama mlima kitonga. Ohh Mungu nisamehe nawatusi ndugu zangu
   
 15. mito

  mito JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,011
  Trophy Points: 280
  nyie endeleeni tu kunisema......

  mtoa mada unitake radhi, loh!
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwamtoro vituko haviishi, vipi na yule demu wako mwenye tatoo kwenye paja na kwenye makalio ushampiga chini/ mpaka unataka kuchukua mgogo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hamna kitu hapo maana kitamanio/utamu wote umeondolewa! Shauri yako
   
 18. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na kile cha kati kimetolewa asa sijui utashika nini na kulamba ili upate flavour..ila kama unapenda hayo yote sio tatizooo
   
 19. k

  kabali faraji New Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah!kazi kwl kwl
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  je wewe mstaarabu? watu wa kabila lako ni wastaarabu? na definition yako ya ustaarabu ni nini? ikoje?  je katika maisha yako ya ndoa ndugu zako hawatakuja kwako? au wako ruksa wa mwenzio mzigo?
  kuna kabila hapa tanzania ambalo ndugu hawaamii temporarily au permanently?

  na ndugu kama hamuwataki si mnakubaliana tu? mradi wako wasije na wamwenzio wasije?  wewe ndugu zako hutowalea?
  wazazi wako hutowalea?
  kaka zako na dada zako?
  au wako kulea ruksa wa mwenzio mzigo?

  jinsi unavyotaka ndugu/wazazi wako wawe treated ndivyo tendea ndugu wa mwenzio...


  je wewe msafi?
  je mpenzi wako msafi?


  ndoa ni kujitoa na kukubaliana....
  mwisho...
  ukitaka kuoa usiwe mchoyo, mbinafsi, usimwazie mwenzio madharau....
  mjudge mtu kutokana na yeye alivyo,
  judge familia yake baada ya kuijua na kuisoma....
   
Loading...