Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 538
Kuna tatizo nimeukwaa naombeni ushauri wenu kwani niko njia panda nilijiunga chuo mwezi januaru lknh huko nilikutana na binti mmoja mrembo sana tulibadilishana nae mawazo na namba za simu kila wakati nilikuwa nimwambia ya moyono amezingu miezi yote hiyo alafu leo kaniambia laif mmcfai kwake amejionyesha kwangu jion hii kuwa ana maboy friend wazuri na wanahela mm nampenda sana sjui nifanyeje