Nimempata nimpendae, nashukuru JF kwa kunipatia nimpendae

Una vituko si haba:-
i. Una miaka 23 na una mtoto mmoja (at this age)
ii. Tarehe 10.08.2016 ulitaka kujua kama una mimba (hivyo ulikuwa unasex bila ndom)
iii. Tarehe 23.08.2016 Unalalamika kuwa upo kwenye ndoa na mme wako hakujali anajinunulia nguo yeye
iv. Tarehe 09.09.2016 Unatafuta mpenzi
v. Leo unathibitisha umempata mpenzi anayekupenda
Nawasilisha
Kumbe ana diary kabisa humu
 
Duh kwa utaratibu huo basi soon tutapata mrejesho mwingine
 
Hongera zako, wengine wanamaliza dk na bado hakuna dalili yakupata
 
Back
Top Bottom