Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

Maybe your too old for this and not a loser girl....
Usiniambie haujafanya haya mambo coz I remember those days tulikuwa tunachapa girls geto moja watu 3 kila mtu na demu wake....it was foolish age

Even saints have history my brother.

Mkuu usifikiri life style yako ndo ya wote, mind u we are different
 
Thats my girl! You know what? Just proceed and give the dude what he deserves, kusamehe sio jukumu lako, in other words haikuhusu. Besides we only live once and life is too short to not satisfy your wishes. Malipo ni hapahapa.
 
Umenikumbusha mbali sana enzi za Tambazana na Girl guide.....

We used to *** them inferior girls...
Hakuna unachoweza kufanya sasa ivi kikawa sawa na cha 10 years ago ndio maana wanaita foolish age...
Ile ilikuwa Darwin theory of natural selection..only strong survive and you girls are always weak.

GG oyeeeeeeeeee
 
kwani we lala hiyo ilikua mwaka gani?maana nimesoma zanaki since primary mpaka advance najua bifu lilikua hai ni kati ya tambaza na azania,zanaki na jangwani.zanaki wanaume wetu walikua Tambaza na azania alikua hatuhusiwi kudate msichana wa zanaki,pia tambaza alikua haruhusiwi kudate na waschana wa jangwani vinginevyo tifu kubwa.na huko mzizima watoto wakishua.ndio lilikua duka la tambaza na mahali pakufanyia fujo.sijawahi sikia kama mzizima kulikua na hizi mambo.
 
Angalia shemeji sukari isije ikapanda show ikikugeuka ukaua bila kukusudia
 
lara 1

Utakuwa umehitimu juzi juzi tu,
Utakuwa huna majukumu ya ku keep bize,
Mambo ya utotoni unaleta ukubwani??

Sio kila mtu akikurushia kinyesi na wewe uende chukua kiinyesi umrushie... sometimes unaoga na kuvaa nguo safi na kuendelea na life, life is very short for that.
Ukiendelea kuwa single utaharibikia ukubwani aiseee
 
Last edited by a moderator:
kwani we lala hiyo ilikua mwaka gani?maana nimesoma zanaki since primary mpaka advance najua bifu lilikua hai ni kati ya tambaza na azania,zanaki na jangwani.zanaki wanaume wetu walikua Tambaza na azania alikua hatuhusiwi kudate msichana wa zanaki,pia tambaza alikua haruhusiwi kudate na waschana wa jangwani vinginevyo tifu kubwa.na huko mzizima watoto wakishua.ndio lilikua duka la tambaza na mahali pakufanyia fujo.sijawahi sikia kama mzizima kulikua na hizi mambo.

Hayo ya kugombea wanaume Zanaki na Tambaza nayasoma sana. Au yalifanyiza enzi zs Tambaza kuna olevel yani kabla ya '94?
 
hao mbwa waliobaka I WILL NEVER FORGIVE THEM maana walimfanyia mtu wangu wa karibu sana
daaah sisemi mengi but i wish to tell her now kwamba aingie jf but i don know km ni member or not...
na pia sitaki nimkumbushie hilo tukio maana dah!!
ila nimekumbuka mbali sana yule dada
 
It is a philosophical point of view that a perpetrator of a crime should not go unpunished. Discuss.

Cc: Lara 1
 
Utakuwa umehitimu juzi juzi tu,
Utakuwa huna majukumu ya ku keep bize,
Mambo ya utotoni unaleta ukubwani??

Sio kila mtu akikurushia kinyesi na wewe uende chukua kiinyesi umrushie... sometimes unaoga na kuvaa nguo safi na kuendelea na life, life is very short for that.
Ukiendelea kuwa single utaharibikia ukubwani aiseee

Kwa hio ukae tu akurushie mdomoni kabsaa ndo uridhike! Nyoooooo!
 
Hayo ya kugombea wanaume Zanaki na Tambaza nayasoma sana. Au yalifanyiza enzi zs Tambaza kuna olevel yani kabla ya '94?

Msitake nikaoe ushahidi na hii sheria ya Cyber Crimes. Miaka ya 2000 huko.
 
kwani we lala hiyo ilikua mwaka gani?maana nimesoma zanaki since primary mpaka advance najua bifu lilikua hai ni kati ya tambaza na azania,zanaki na jangwani.zanaki wanaume wetu walikua Tambaza na azania alikua hatuhusiwi kudate msichana wa zanaki,pia tambaza alikua haruhusiwi kudate na waschana wa jangwani vinginevyo tifu kubwa.na huko mzizima watoto wakishua.ndio lilikua duka la tambaza na mahali pakufanyia fujo.sijawahi sikia kama mzizima kulikua na hizi mambo.

Upanga zote East na West kulikuwa na RIVALRY within HOSTELS, GETTOS, NA MAJUMBANI. Sasa Kayumba wengi haswaa wavulana walikuwa hawa reside in Upanga. Kimbembe jioni, wale Kayumba wengi day washarudi makwao ndo U DON wa kimitaa unaanza. Na Mzizima walikuwa wengi, afu wana hela. Shebby walikuwa wengi ila wastaarabu sanaa. Wengine Benja, Kibasila, Makongo, Jiteute, Jangwani, Zanaki, ET AL walikuwepo kiasi tu, kshkwambi tu.

Huo mtaa wetu ni njia ya watu wa Mzizima. Ndo maana walituonea sanaa.

HIO NI MIAKA YA 2000.
 
You are very right at that age hao jamaa hawakuwa watoto wa kufanya vitendo vile. Ila ninachoshangaa ni kuwa nimesoma mitaa hiyo hiyo almost miaka hiyo hiyo, never heard of that kinda stuff. Sikubishii but, dah, i am shocked, watoto wa Mzizima na shule kama hizo tulikuwa tunawaona mabitozi, habari kama hizi kuna mtu alikwenda kuripoti shuleni kwao?

Weeeeeeeeeee! Walikuwa na roho mbaya wale acha kabisaaa. Roho za korosho. Wanajifanya m GANGSTAR ile mbaya. Loooooohhhh! Tena wengine walikuwa na magari ukilegea wanakuteka. U wakute club au viwanj unaweka mbali na watoto. Afu wazazi wao watu wazitooo. Aaaaaah! Acheni tu.
 
Watu wahivi wapo tu kwenye makuzi tangu enzi huko, na tatizo ni balehe tu ndo maana leo ukimfuata ataomba samahani atakwambia ni utoto. yani vijijini wanaviziana vichakani, huku mijini pia kuna maeneo yao.

Wengi katika mishe za ukuaji wanapitia hayo, kila mtu ana story yake. Sawa wewe hata ukilipiza kwa wabaya wa hilo group, lakini ujue wapo tu, yani hata saivi ukienda kuchunguza huko mashuleni utawapata, maana magroup ya mikumbo na sifasifa za kijinga wanaochanganywa na ukuaji wapo tu.

Sawa watakuwepo, ila mimi nitakuwa nimemalizana nao.
 
Back
Top Bottom