Miss u2
Mentor jamani,, hope xmas ilikuwa poa kwako.
tinna cute mbe..itakuwaje poa ilhali hata pm kutoka kwako sijaipata hadi waleo lakini!??
Ni shidaa mbe...Quote ya dada
Heaven on Earth hiyo hapo juu..Imenipa mi-hopes...u knw wat i mean:israel:
Duh kweli
Rural Swagga, kuna wadada wanatia moyo (hope) kuwa mabinti wazuri wanaojiheshimu wapo...the problem is; they are either your sisters ama wameshaolewa! #***
Asante mbe...tutaanza mwakani basi!
#unikumbushe
Ila kaka kama vile ulikuwa uko resi sana,hata mwezi hujatimia wee ukadondosha cd ya kutaka kuoa kabisa!!!!!
Labda hilo ni kosa pia ee??
#didin 'tKNOW
Pili kuhisi ndie mwenyewe bila kujali mazingira mliyokutana kidogo bado naona haiko sawa,japo hakuna formula ya mazingira.
Mazingira hayakuwa mabaya hasa ukizingatia kuwa ni mechi tulienda kuangalia mkuu! Plus, kama usemavyo...hakuna formula ya mazingira ya kukutana. mkuu
BAK naomba umudediketie lile lisongi la 'We found love in a hopeless place - rihana'
Mwisho style yako ya kupenda ndio yenyewe,kwa moyo wote.na kwa style hiyo utampata tu ila ukiweza tumia njia ya kumtafuta na usisubiri atokee mitaa yako.
Amina...natafuta mbe!
Asante na Asante.
Dah hata kama ni hadithi ila imenikumbusha mbalia sana nadhani natakiwa kuwa single hadi Yesu atakaporudi.
Mkuu
Mwadunda na mpwa
Elli, tafadhalini share with us hizo hadithi zenu basi walau na sisi zitusaidie kuepuka majanga!
Bado nipo nipo kwanza mkuu
Mentor, labda ulikaa mbali sana na huyo mrembo na pasipo mawasiliano pia thus why hata uvumilivu ambao ulizani binti anao na hasa ukizingatia ni Arsenal fans ukapotea. Out of site, out of mind. Maandalizi mema ya mwaka mpya 2014 na series mpya nyingine katika kuondoka katika kuwa bado upo upo sana.
Hehe mkuu
Lyagwa, wish ungefahamu mahali tunapoishi na ukaribu/umbali tulionao. Nahisi tu sikumfahamu vyema...but then again, tunajifunza kutokana na makosa.
Nakutakia na wewe maandalizi mema ya mwaka mpya mkuu.
Yaani nimejikuta natabasam haha, hata kama story inasikitisha, pole mwaya, ulivobadilisha hayo mapambio hahaha
Tafta mdada wa Liverpool, sie hatuna hizo issue kama za wadada wa Arsenal
Ahaha Liverpool wazee wa kulalamika sana pamoja na kukumbushia yaliyopita naogopa!
Labda sasa nitafute mpenda Basketball. But then again huwezi kujua bila kujaribu ( Cc: babu
Asprin). Mamii
Leney, am kamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
😛ray:
<bold> Cc:
Smile,
BAK,
Wacha 1,
Belo,
mwallu,
BelindaJacob.