Nimempata Asiyebadilika...

Nimempata Asiyebadilika...

heheheeeeee jamani usijali ntamwambia kaka mkubwa Eiyer, Kaizer na watu8 wakupe semina zaidi ya bag party wanazopewa expected grooms, maana wewe ni expected groom.
Kubwa lao kanibana nimeshindwa kutoa semina ila malizia kwanza ku-access application zako ili upate good result.

Mwambie asijali tupo kwaajili yao na wote .........!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom