Nimempata Asiyebadilika...

Nimempata Asiyebadilika...

At least, now you are talking. But dont make it tough and dont play hard to get, ujue kuna bachelors wengine humu pia wanawatolea macho hao warembo...
All the best warembo on Mentor's application looh sasa sjui atafanya interview au application and attachments zitatosha looh.

we hutaki kutuma application........
 
Pole na hongera pia, haijalishi ni stori ya kufikirika au laaa, imetulia!
 
Hadi leo asubuhi zilikuwa application 66 kwa PM. 12 nimetumiwa namba za simu bila maelezo. Na 8 wakisema 'i wish...' (hawa nadhani ni ma age go).
mwallu nashukuru application yako pia imenifikia. Mtafahamishwa shortlist soon muende kwa ukaguzi kwa babu Asprin...maombi kwa Kaizer na semina elekezi wa watu8 kabla ya mchujo wa mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Hadi leo asubuhi zilikuwa application 66 kwa PM. 12 nimetumiwa namba za simu bila maelezo. Na 8 wakisema 'i wish...' (hawa nadhani ni ma age go).
mwallu nashukuru application yako pia imenifikia. Mtafahamishwa shortlist soon muende kwa ukaguzi kwa babu Asprin...maombi kwa Kaizer na semina elekezi wa watu8 kabla ya mchujo wa mwisho.

shikamoo deadline ni lini
 
Last edited by a moderator:
Mentor huishiwi mikasa, mara yule binti wa mbagala, alikuwa mzuri but hukuwa mwaminifu kwake, alikufumania mara kibao. Eeeh! yule dada wa kigamboni bado una mawasiliano nae au bado mumewe anakusaka?
Hivi yule Anita alipotelea wapi jamani, nakumbuka mlitaka kuoa nyumba moja wewe na kaka yako, vipi kaka yako alioa? Acha kuhangaika mtafute Anita, huyo ndo mke wa maisha yako atii
 
we hutaki kutuma application........

Loooh mie tena......!!!! hahahahaaa mrembo usinchekeshe, mie kubwa lao na niko na kubwa mwenzangu(cocacola kubwa), huyu Mentor ni dogo kwangu looh
Application hizi za kwenu warembo mie nshapita huko, aaaahhhh ndo maana mkanikazania nitoe semina mie nilikuwa siwaelewi aaaahhhhh nyieeeeee....... mi sio bana
 
Mbona nshanunua madaftari?? #sad

heheheeeeee jamani usijali ntamwambia kaka mkubwa Eiyer, Kaizer na watu8 wakupe semina zaidi ya bag party wanazopewa expected grooms, maana wewe ni expected groom.
Kubwa lao kanibana nimeshindwa kutoa semina ila malizia kwanza ku-access application zako ili upate good result.
 
Last edited by a moderator:
Weka tumain lako kwa Ebenezer hakika atakusaidia coz anasaidia wengi naamin we pia hatokuacha. Pole yng ya dhati
 
Back
Top Bottom