The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,088
- 14,571
Katika kuonesha mahubati kidume nikajikamua nikamnunulia perfume kali na dawa moja ya mswaki nikafunga kwenye kibox maalumu siku yake ya kuzaliwa, cha ajabu nimeambulia mijitusi eti ile zawadi aliifungua na rafiki zake wamemcheka sana eti inamaanisha yeye ananuka mdomo na kwapa wajameni nifanye nini?