Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

Kapime DNA
Hivi kama una mwanamke umemsaidia mwanzo wa mimba hadi mwisho mtoto akazaliwa baada ya mwaka ukaona utofauti mtoto hafanani na wewe baba sio rangi wala morphology, ukachukua maamuzi ya kumwambia mama mtoto mkapime DNA halafu yeye hataki, hii tafsiri yake nini kwa nyie wanawake?
 
Kila mtu atalichukua mzigo wake mwenyewe, ulipomgegeda mlikuwa wawili na shetani wenu sasa tukusaidie nn
Lbd chukua hii
"Tubu dhambi ya uzinzi kabla Corona haijakutwaa"
 
Jamaa akienda zamu usiku, wewe unajivinjari. Wewe usipokuwepo, jamaa akiwa zamu, kuna mlevi mwingine pia anafanya yake, si pombe ndo umesema imewaunganisha sio?

Sasa uhakika wa kuwa huo mzigo wa dhambi ni wako unautoa wapi?

Dhambi inaingiaje hapo, mimba au mtoto?
 
Na rafiki yako kaambiwa mimba ni yake si umesema anapenda pesa na anasa, atakuwa anatoa matunzo na wewe una ambiwa utoe matunzo. Akili kichwani.
 
Hivi kama una mwanamke umemsaidia mwanzo wa mimba hadi mwisho mtoto akazaliwa baada ya mwaka ukaona utofauti mtoto hafanani na wewe baba sio rangi wala morphology, ukachukua maamuzi ya kumwambia mama mtoto mkapime DNA halafu yeye hataki, hii tafsiri yake nini kwa nyie wanawake?

Tafsiri yake ni as Expected Value!
 
Hapo kwa asilimia 59 mtoto ni wako na kwa asilimia 50 mtoto sio wako sasa hizo tisa asilimia zilizozidi sasa sijui ni za nini mimi mwenyewe nashangaa kwanini zimezidi
 
Inabidi umuulize uyo mwanamke tunafanyaje,pengine hana mimba anataka akudosoe vizuri ila yote kwa yote umeingia chakike ewaahhh
 
Back
Top Bottom