Wewe una tatizo gani na "iyo"?Mkuu una matatizo gani na iyo "yu"??? yunaipenda sana ee!!?
Hii noma bratha, usiwahi mshauri rafikiyo aachane na mpenziwe hata awe na tabia chafu vipi.nilitegemea ungemwambia rafiki yako atafute mwanamke mwenye staha
Hii noma bratha, usiwahi mshauri rafikiyo aachane na mpenziwe hata awe na tabia chafu vipi.
Atakuchukia na kukuona mwenye wivu usiye mtakia mema katika uhusiano wake.
Baya zaidi atamwambia mwenzake kuwa wamshauri amwache