comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,353
- 16,957
Ingekua hawez kumsimamisha au timu kubwa zinakua zinashinda tuu kwa timu ndogo hata makampuni ya kubeti yasingekuwepo.Usimlaumu Salama, hata kama ni wewe ungeingia mkenge tu. Kwa akili ya kawaida ulijua Cape Verde anaweza kuizuia Spain?