Polee mkuu mechi za mwanzo mwanzo huwa hazitabiriki sanaNimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.
Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Boss wewe ulimpa naniUsibetie mapenzi
Sibeti tena mkuu.Polee mkuu mechi za mwanzo mwanzo huwa hazitabiriki sana
uvivu wa watu kwenye matumizi ya akili ndio matatizo yake haya😁😁😁😁 Yani Dominick salamba nae kumbe ana viazi vyake anavikamata nyota, kufa njaa bongo ni kujitakia
Huwa sibetiBoss wewe ulimpa nani
Ndio maana yake eeh?"Hapa ndipo ilipoungua shoka, ikabaki mpini". 😊
Pombe sinywi na kubeti pia nisibetiSibeti tena mkuu.
Ndio maana yake eeh?
Aloo this is very funny
NdioHuyo ndo anaeuza odds mkuu?
Ni kweli maponjoro ndo mitaji ya matajiri wengiNje ya mada: Kwa wawekezaji, jitahidi sana biashara yako moja unawekeza kwenye kundi la wajinga wengi. Wajinga wana hela za kuchezea. Ni wateja wazuri sana. 😊