unamwita nani? kamanimesikia vibaya fianceee? aisee fanya hivi hiyo vitz weka hapa tununue halafu piga chini hiyo kimeo.. itakusumbua sana aiseee ....
shemeji hapo ndipo ninapokukubaliunamwita nani? kamanimesikia vibaya fianceee? aisee fanya hivi hiyo vitz weka hapa tununue halafu piga chini hiyo kimeo.. itakusumbua sana aiseee ....
liko poa mkuu,sio mbaya uko vizuri!!!!so ukifananisha hiyo ndinga yako ambayo mimi kibongobongo ipo poa na wenzako huko huoni kwa hadhi ya huko hiyo ni kama ka vitz tu huko???au unasemaje mkuu
Duh! Hivyo vigari vyenu bana....
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.
Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?
Naona umerudia kabisa kuonesha msisitizo
Daaaaaah
Igizo hiliJamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.
Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?
Me hata mke wa ndoa siwez mnunulia gari
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.
Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?
Igizo hili
K yake ina bloototh?
jamaa nananunulia papuchi asiyoimiliki gari .. kudadeki